2015 itakua sivyo ndivyo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2015 itakua sivyo ndivyo!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by adil_abdallah, Mar 23, 2012.

 1. adil_abdallah

  adil_abdallah Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siasa inayoendelea arumeru ni ishara mbaya ya mwaka 2015....japokua inaeleweka wa kuchukua nchii,ila uchumi,usalama wa raia na mali zao zitakua hatarina
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Well said mkuu, matatizo yote haya bado mawaziri wanashinda Arumeru wakati watu wa chama wapo, ina maana hawawaamini? kweli tutapiga hatua kweli?
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Vijana 2amke wakati ndo huu
   
 4. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo point..... kwa hiyo ccm hawaaminiani? mbona akina mkama wapo? akina chligani, akina nape na wengine wengi, ina maada bado tu haitoshi hata mawaziri na manaibu wao kushinda arumeru? AIBU kubwa kwa chama cha Mapunguani na Sirikali yao.......
   
 5. adil_abdallah

  adil_abdallah Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya maneno yanayosemwa kwenye kampeni na wagombea,ni tofauti na majukumu walio pewa na wakubwa wao endapo wakipita wakayafanye....wakisha pita wanaambiwa"mzee uliyo yasema kwenye kampeni futa akili,shika faili letu na utekeleze yalio andikwa"...
   
Loading...