Majirani wa Sumari waapa kumpigia kura Nassari

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
katika jambo lililowachanganya makada wa ccm ikiwemo madiwani ni muitikio mkubwa wa majirani wa sumari kwa mgombea wa chadema bw nassari.hili limedhihirika katika mkutano uliofanywa na chadema ukiongozwa na dr slaa.

Majirani wa sumari walihudhuria kwa wingi kinyume na matarajio ya ccm na chadema.

Sababu kuu ya kumkataa sumari imeelezwa ni kuhusu barabara inayoelekea kwa sumari,barabara hii iliahaidiwa kunjengwa na marehemu mzee sumari lakini ahadi hiyo haikutimizwa mpaka siku mbili kabla ya mazishi yake.kilichofanyika ni kupiga grader kwa maandalizi ya kupokea ugeni uliofika kwenye msiba(kama mnakumbuka kuna mwanajf aliripoti matengenezo ya barabara hii kufanyika usiku na mchana huku ikimwagiwa maji kuondoa vumbi)

mpaka sasa wakazi wa eneo hili(majirani wa sumari) wanasikitishwa na kitendo cha kuachiwa vumbi baada ya mazishi kupita.

Kinachowaudhi zaidi ni hasara iliyotokana na kuvunjwa kwa nyumba za pembezoni kwa ahadi ya ujenzi wa barabara kitu ambacho hakijafanyika hadi leo.

Hili ni pigo kwa sioi kwani anapoteza kura za eneo lake la makazi.

Nawasilisha...
 
Habari hii nilishaisikia tangu mwanzo kabisa wa kampeni. nilifika eneo hili miaka ya nyuma na nikawakuta wazee wakilalamika nyumba zao zimevunjwa eti kwa sababu barabara ilikuwa inapita. Nimesikitishwa kwamba hadi Mzee Sumari (RIP) anafariki hakuna kilichokuwa kimefanyika. Sioi anadanganya atamalizia kazi iliyoachwa na baba yake kana kwamba walikaa na kukubaliana. Yeye akubali yaishe ajipange kipindi kingine kwani failure ya Jeremia sumari ni failure ya Ukoo mzima kwa sababu spirit ni ileile
 
Hii barabara huwa inanipa mawazo kila niipitapo na nyumba zilizobomolewa tangu mwaka 2006 wazazi na ndugu zangu wakiwa waathirika namba moja tukiambiwa inafanyiwa ukarabati lakini hadi leo ni mifereji tu iliyotengenezwa na mvua katikati ya barabara ndiyo iliyofanya ukarabati....kwa kweli hapa kuna kero ya kujibu
 
Taratibu Wameru wanaanza kuona kuwa wameletewa zigo lisilonunulika, aka gunia la misumari!
Leo nilikaa na watu kadha toka Meru, wanasema hakika hali ni mbaya sana Meru, ni kwamba watu wanaenda CCM kupewa Tshirt, na wanarudi nazo CDM na kumwambia Nassari kwamba.."usituogope, sisi ni watu wako, na utatushangaa na kutujua vizuri siku ya kura"
Zaidi ya nusu ya watu wanaokuwa kwenye mikutano ya ccm ni mamluki wa cdm, na wameapa kumwonyesha aibu Sioi siku ya kura!
 
Habari hii nilishaisikia tangu mwanzo kabisa wa kampeni. nilifika eneo hili miaka ya nyuma na nikawakuta wazee wakilalamika nyumba zao zimevunjwa eti kwa sababu barabara ilikuwa inapita. Nimesikitishwa kwamba hadi Mzee Sumari (RIP) anafariki hakuna kilichokuwa kimefanyika. Sioi anadanganya atamalizia kazi iliyoachwa na baba yake kana kwamba walikaa na kukubaliana. Yeye akubali yaishe ajipange kipindi kingine kwani failure ya Jeremia sumari ni failure ya Ukoo mzima kwa sababu spirit ni ileile

wanasiasa ni wasahaulifu sana lakini wananchi ni makini.
 
Taratibu Wameru wanaanza kuona kuwa wameletewa zigo lisilonunulika, aka gunia la misumari!
Leo nilikaa na watu kadha toka Meru, wanasema hakika hali ni mbaya sana Meru, ni kwamba watu wanaenda CCM kupewa Tshirt, na wanarudi nazo CDM na kumwambia Nassari kwamba.."usituogope, sisi ni watu wako, na utatushangaa na kutujua vizuri siku ya kura"
Zaidi ya nusu ya watu wanaokuwa kwenye mikutano ya ccm ni mamluki wa cdm, na wameapa kumwonyesha aibu Sioi siku ya kura!

nikuhakikishie tu kuwa moyoni, siyoi anatamani mno kushindwa ili arudi kwenye maisha ya kawaida. Keshaonja joto ya jiwe. Bishoo yule hataiweza politiki
 
Akeri for change....... ukweli usiovangua hivi zile ahadi ambazo alitoa marehemu Mzee Sumari alizitekeza?Imean za kuanzia 2005-2012? kama hakufanya hivyo kulikuwa na sababu yoyote ya msingi kutotekeleza?Ahadi ni Deni na kama uwezi kulipa deni basi ufahi kukopeshwa.

Sioi mi nafikiri bado muda unao fanya maamuzi ya busara....matatizo ya meru ni zaidi ya uwezo wako!
 
kata ya akheri ni kata inaysifika kwakutoa wabunge wa meru.lakini mwaka huu wako pamoja na nassari ,wamemtema mu-akheri mwenzao ndg sioi.ushindi wa chadema utakuwa mkubwa bila shaka.
 
chadema ihamishie majeshi yote meru,igawe vipeperushi vyenye picha ya nassari vijiji vyote.vijijini wamegoma kutokea kwenye kampeni za ccm kwa hiyo chadema inatakiwa kufanya operesheni ya nyumba kwa nyumba huku ikihamasisha wapiga kura kujitokeza.ole sendeka anahaha sana na mamluki wake kutoka simanjiro bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom