M-PESA waihujumu CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M-PESA waihujumu CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Mar 23, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ktk hali ya kushangaza ukituma m pesa kwa CHADEMA inakataa kulikoni?.
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  jaribu tena mkuu,labda ni network...
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Na mimi nimehisi ni hujuma. Kama ni hujuma dawa ni kuwapiga chini maana mitandao ni mingi ati.
  Shwaaaaaaaaaaaa
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ukituma wanakwambia m/pesa hawawezi kutuma pesa kwa chadema arusha
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama wanatumiwa na magamba 2 hame fasta
   
 6. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  ahaaaaaa duh wachagga na pesa!!! anzisheni na kampuni yenu ya simu sasa muiite CHADOTEL
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  watu wengi wanatuma; vumilia. kaa kwenye foleni.
   
 8. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kwani uhusiano wa Vodacom na CCM ni siri!? Hope kwa chama makini kama Chadema wanalitambua hilo na nafikiri PLAN B ita take over!
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huna pesa kwa nini ulalamike wewe?
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kuweni wavumilivu!!Hili ni zoezi endelevu,hata kesho ni poa tu!!M4C
   
 11. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wakuu kwa wale wanaofuatilia chadema naura spring hotel watujuze process ya kukichangia chadema kwa mpesa unatuma kwa namba ipi!?
   
 12. d

  dada jane JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ritz kasema anauwezo wa kuvuruga kwa kushirikiana na vijana wake wa it huenda ndio yeye. Lkn haisaidii.
   
 13. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Nadhani watu wengi wanatuma pesa, mtandao umelemewa. Vuta subira
   
 14. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Nataka kutuma kwa kutumia Western Union nimtumie nani?
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kwani angekuwa hana pesa angelalamika pesa kutotumwa? Watu wengine huwa mnawataka watu maneno waseme mnachokistahili kuambiwa halafu mdai kuwa mmetukanwa.
   
 16. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  FICHA UPUMBAVU WAKO HAPA :hand: HIVI SWALA LA UKABILA KWA STAILI HII MNATAKA YA MAJIRANI ZETU YATUFIKE AU!? DO YOU HAVE SUPPORTING, PURSUASIVE AND CREDIBLE EVIDENCE TO SUPPORT YOUR ALLEGATION ZA UKABILA KWA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
   
 17. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kuna mitandao mingi ya kutumia !
   
 18. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Ukijaribu mara nne itakatata mara nne network ikirudi
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Eti sehemu nyingi wamekata umeme, da ccm kwa kweli ni janga.
   
 20. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hiyo ndo kazi ni kwako ya vodacoma
   
Loading...