Kampeni za CHADEMA Arumeru - Updates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za CHADEMA Arumeru - Updates

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yegella, Mar 23, 2012.

 1. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  mkutano wa mwisho leo uko hapa akeli karibu kabisa na nyumbani kwa sumari, watu ni wengi sana huwezi kuamini kama ni nyumbani kwa sumari..)yuko dr slaa nasari, lema, na madiwani

  Picture 044.jpg Picture 055.jpg Picture 062.jpg Picture 063.jpg Picture 020.jpg
   
 2. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  lema anasema kuanzia leo yuko rasmi meru
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii inaitwa Osama Tactic, in their ground.
   
 4. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  anasema hakuna mwizi jasiri
   
 5. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  lema anasema, vijana wa meru mkiwaona ccm wanagawa pesa wawanani..
   
 6. P

  Pelege Senior Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi makamanda endeleeni kutujuza yanayoendelea huko Arumeru.
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  vicent ana sema hata kitabu cha ccm alitunga yeye...anasema ccm wanaishi kwa matumaini
   
 8. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Jitahidi kuweka picha jamani.Kila la kheri
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru mkuu endelea kutujuza
   
 10. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  anasema cdm wasiwazome watu wanaovaa nguo za ccm maana hawana nguo za kuvaa
   
 11. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  dr slaa anataja vituo 55 vilivyoongezwa anasema maji ya chai vimeongezwa vituo 6, mbuguni 6....
   
 12. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ebu tujikumbushe kidogo katika haya ili kuondoa ama kupunguza pressure huko Arumeru hapo 1st April 2012 (Foolish Day)

  [​IMG] By Dr.W.Slaa [​IMG](Katibu Mkuu Chadema)

  WanaJF,
  Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
  Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.


  [​IMG] By Ng'wana Sweke [​IMG](Kamanda)
  Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.


  [​IMG] By Tumaini Makene [​IMG](Afisa Habari Chadema)
  Updates;

  Ngoma sasa iko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uzini. Matokeo yanaendelea kukusanywa na kufanyiwa majumuisho kwenye kompyuta. Mechanism yetu pia inaendelea kukusanya matokeo yote ya kura zote na taarifa za mchakato mzima wa leo. Uchaguzi umetawaliwa na vitisho na ubabe mwingi. Mpaka sasa zipo taarifa juu ya CCM kuweka ofisi ndogo katika kila kituo cha kupigia kura. Wakiwakamata wapiga kura na kuwashikisha vitambulisho vya kupigia kura. Wakitoka kupiga kura anakuwepo mtu maalum anawapatia pesa.


  [​IMG] By Tumaini Makene [​IMG](Afisa Habari Chadema)
  Msimamizi kamtangaza Mohamedraza Hassanal Mohamedali wa CCM kuwa mshindi kwa kura 5,377 (91.1%) akifuatiwa na Maalim Ali Mbarouk Mshimba wa CHADEMA, kwa kura 281 (4.8 %), wa CUF anafuatia akiwa na kura 223 (3.8), kisha TADEA kwa kura 14 (0.2%)na AFP kura 8. Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 5,903 na zilizoharibika ni 28.
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuko pa1
   
 14. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  dr anawaambia wana arumeru kuwa wakati wa uhuru walimchangia urio ili wapate aridhi lkn tangu hapo hawajapata mtetezi sasa anawaomba wampe nafsi akawatete
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  hii kali, yaani wanapiga ndani ya ngome ya gamba. Nawaaminia hao makamanda. Peoplez . . . . . . !
   
 16. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tunakufatilia, tafadhali endelea kutujuza pande za hapo Akheri
   
 17. P

  Pelege Senior Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda tupo pamoja ktk mapambano haya,wapo wachache wanaotukatisha tamaa kwa sababu wao wananufaika na wizi wa CCM,ila vita lazima tutashinda.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Good work, give us more information.
   
 19. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  nasari anasema ni miaka 50 hakuna barabara, wamama wanajifungulia chini, hakuna maji..anasema arumeru kila mwezi inapata mil 40 kwenye mfuko wa jimbo lkn miladi haionekani....anatoa takwimu za mfumuko wa bei
   
 20. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  picha zipo nitaziweka baadae nipamoja na video
   
Loading...