Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila shaka sote tunafahamu hali ya kisiasa inavyoendelea huko Arumeru mashariki ambako vyama mbalimbali vya siasa vinajitahidi kunadi sera kwa Wanaarumeru ili mgombea wao aweze kuchaguliwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Kwa hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa wilayani hapa tangu jana saa saba usiku usiku mpka saa hii (tatu usiku) umeme umekatika na haijulikani ni saa ngapi au ni lini utarudi.kweli inasikitisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://youtu.be/ZkKLfF-A3ZU
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengi na hakuna la maana wanalofanya !!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wazee Wa Jamvi nawapa heshima zenu, jamani mi nashangazwa Sana na hili neno mila, wazee Wa mila na wazee Wa Kimeru, hivi jamani wameru tu watengeru ambao meno yameharibika kwa ajili ya fluoride ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nihakika na kweli kama wewe ni mfanya Biashara Mkubwa hapa Tz,Kama ni mwanachama wa CDM na uko front line,lazima uwe umejipanga.Utafiti wangu mdogo nimegundua kuwa wako CCM si kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kuna tabia imeanza kujengeka miongoni mwa wanasiasa hususan wa aina ya Nape kutaka kuwazuia wazee na viongozi wastaafu kutoa maoni yao kuhusui mwenendo wa serikali katika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kuweka mambo sawa kidogo. Kuna watu ambao wanaonyesha kila dalili za kuweweseka, ama kuchanganyikiwa au kupumbaa au kuwehuka au kufamiwa na mapepo na kuwa kama mapunguhani fulani hizi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimekusikia kwenye moja ya mikutano ya kampeni za ubunge kumdadi Sioy Sumary kuwa akishinda ubunge,Atarudisha Maelfu ya Ardhi yanayokaliwa na walowezi. Swali. 1.Hiyo Ardhi ilitolewa na nani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Itv kama mnaona hamwezi kutuletea habari ya ukwela na bora hiyo habari muiache. picha za kampeni ya ccm mlizo tuonyesha leo si halisi kabisa mmetuchanganyia na piçha za zinduzi. uongo wa...
5 Reactions
60 Replies
7K Views
Nimetoa hii toka kwa mtandao wa Mnyika "M4C: Kwa kipindi cha mwaka mmoja cha utumishi wa umma nimeshuhidia umuhimu wa kuchanganya vyama katika mabaraza ya madiwani katika kuongeza uwajibikaji...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakazi wa Temeke kata ya Vijibweni wanapaswa kuwapuuza CHADEMA na kampeni zao. Kampeni hizo wanazodai kuzifanya kwa nguvu ya umma hazina tija kwa kuwa hawana mabalozi wa nyumba kumi kama CCM.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hawa jamaa nawaoneoa huruma sana,toka wamekuja Arumeru wamekuwa ni watu wa kuzomewa toka asubuhi hadi jioni wanapokuwa wanaelekea kwenye kampeni... Tukio lililo nishangaza sana ni siku...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
VIJANA WA KIMERU WAMEANZA KUKUSANYA KADI ZA WAZEE WAO NA KUZIFICHA KWA MADHUMUNI YA KUWAFANYA WAKOSE NAFASI YA KUICHAGUA CCM... Mwenyekiti wa serikari ya mtaa (sitaji) kwajina..(simtaji)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Na Stephano Mango, Namtumbo WAJUMBE wa kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi(CCM) wilayani Namtumbo mkoa wa Ruvuma wamemkataa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Getruda Lupola na kumfungia mlango kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Utulivu afya ya Dk. Mwakyembe Mwandishi Wetu - RaiaMwema... Dk. Harrison Mwakyembe MADAKTARI bingwa wa Hospitali ya Apollo nchini India, wamefanikiwa kudhibiti ‘kemikali' hatari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani wengi mtaniunga mkono kuwa kama kuna viongozi walio fanya mambo mazuri ktk nchi hi Mh Joseph MUNGAI ni mmoja wapo. Alijenga shule zaidi 20 binafsi then akaipa selikari ikiwepo Mdabulo na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
kwa uchunguzi wangu mdogo wa kipindi cha karibuni kumekuwa na hoja nyingi na topics nyingi za kuchafua chadema, lakini nyingi kama si karibu zote azina uzito stahiki na mashiko kwa wananchi na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ccm waona aibu baada ya kukosa watu kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa nafasi ya udiwani.mkutano huo ulifanyika kijiji cha ibula kata ya kiwira.wakati huo chadema jana tarehe 23 march...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alilalamikia kile alichodai kuwa ni kuchezewa mchezo mchafu na makada wa CCM. Malalamiko ya Dk Slaa yanatokana na kusambazwa barua yenye nembo ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…