Wilaya ya arumeru gizani kwa masaa zaidi ya 20

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Kwa hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa wilayani hapa tangu jana saa saba usiku usiku mpka saa hii (tatu usiku) umeme umekatika na haijulikani ni saa ngapi au ni lini utarudi.kweli inasikitisha sana hasa unapofikiria kauli za viongozi wetu kwamba hakuna mgao,sasa hii ni nini?Nimewasiliana na jamaa wengine waliopo town ya Ar nao wanasema hawajauona pia tangu jana.
 
maisha bora kwa kila Mtanzania, danganyweni mumpigieni kura sioi muendelee kutaabika
 
Hawaaminiki hao, inawezekana Wanahesabu kali, wanawakatia umeme leo na siku nyingine katikati ya wiki kwa muda mrefu ili siku ya kuhesabu kura wakate muone kawaida yao tanesco hivyo kuwezesha uchakachuaji
 
Back
Top Bottom