Changia maoni yako hapa: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia maoni yako hapa:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Brightman Jr, Mar 23, 2012.

 1. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bila shaka sote tunafahamu hali ya kisiasa inavyoendelea huko Arumeru mashariki ambako vyama mbalimbali vya siasa vinajitahidi kunadi sera kwa Wanaarumeru ili mgombea wao aweze kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo. Kwa mtazamo wangu mpambano mkali ni kati ya CCM na CHADEMA. Sasa.., ni chama kipi kitaibuka kidedea tarehe 01.04.2012. Toa maoni yako ukidokeza asilimia za ushindi kwa vyama hivyo. Kazi kwako.....!
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh! hapa ngoja tuwaachie watabiri !
   
 3. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hata wewe waweza kutoa maoni bila shida yoyote; watabiri si lazima sana hapa.
   
Loading...