Mambo ya uzushi na uongo katika siasa.

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Nimesoma sheria za JF sijaona sehemu na adhabu ya mtu anayeleta vitu vya uzushi, uongo, picha fake nk. Ama nimekuwa nikiona thread za uzushi zikihamishwa au kuondolewa bila ya mhusika kupewa adhabu. Hii inaashiria nini, kwamba ninaweza kuleta mambo hayo bila wasiwasi wowote kwa vile najua hakuna adhabu itakayotolewa zaidi ya thread yangu kuhamishwa. Mtu analeta thread kuwa kuna chama kinampango wa kuingiza silaha bila ushahidi na bila kufanywa chochote ni hatari kwa usalama si kwa JF tu bali na nchi kwa ujumla.
 
Hakika JF sasa imegeuka kijiwe cha wazushi na wahuni.Mods sheria za JF zipitiwe upya.
 
What i think JF rules should be revised or mods have to take their responsibilities seriously, otherwise JF haitakuwa tofauti na FB kuwa sehemu ya kuchapia umbea wakati unapokuwa huna kazi.
 
Nimesoma sheria za JF sijaona sehemu na adhabu ya mtu anayeleta vitu vya uzushi, uongo, picha fake nk. Ama nimekuwa nikiona thread za uzushi zikihamishwa au kuondolewa bila ya mhusika kupewa adhabu. Hii inaashiria nini, kwamba ninaweza kuleta mambo hayo bila wasiwasi wowote kwa vile najua hakuna adhabu itakayotolewa zaidi ya thread yangu kuhamishwa. Mtu analeta thread kuwa kuna chama kinampango wa kuingiza silaha bila ushahidi na bila kufanywa chochote ni hatari kwa usalama si kwa JF tu bali na nchi kwa ujumla.

Ubongo wako umeingia barafu nini huku unasema mambo ya kizushi halafu tena yanahatarisha usalama
 
Nimesoma sheria za JF sijaona sehemu na adhabu ya mtu anayeleta vitu vya uzushi, uongo, picha fake nk. Ama nimekuwa nikiona thread za uzushi zikihamishwa au kuondolewa bila ya mhusika kupewa adhabu. Hii inaashiria nini, kwamba ninaweza kuleta mambo hayo bila wasiwasi wowote kwa vile najua hakuna adhabu itakayotolewa zaidi ya thread yangu kuhamishwa. Mtu analeta thread kuwa kuna chama kinampango wa kuingiza silaha bila ushahidi na bila kufanywa chochote ni hatari kwa usalama si kwa JF tu bali na nchi kwa ujumla.
It is good to put rules but mind you this is a social network, we exchange views and we share views. Like any other social events if you feel that someone is telling lies, you tell him/her that the truth is this or that and not to moderate his/her speech. The era of moderating speeches (era of communism and fascism) is gone for now we live in the slogan of French University Students After the Time of France Revolution, their slogan was 'IT IS PROHIBITED TO PROHIBIT' Who is empowered to switch off the minds of others? No one but none is equally prohibited to choose his/her views and viewpoints.
 
A prudent thought!
 
Back
Top Bottom