Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
Kwa sasa kinachoendelea ni makada na wanachama wakiingia katika ukumbi wakibadilishana mawazo.... Saa mbili kamili shughuli rasmi itaanza.

Television ya Star tv inaonyesha live kwa wale ambao hawataweza kufika hapa.
Utambulisho wa makamanda kutoka sehemu mbalimbali. Baada ya hapo Dr. Slaa naibu katibu mkuu CDM alitoa hotuba fupi kama kawaida doctor wa ukweli akaanza na suala la Arumeru mashariki. Hujuma mbalimbali ikiwemo vituo bandia na TUME YA TAIFA KUPEWA AMRI NA KIGOGO WA MAGAMBA ATANGAZE MATOKEO FEKI. LUBUVA WATOFAUTIANA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI, AKASEMA SAFARI HII HAWATAKUBALI CCM MAGAMBA WAO NDIO WATAENDA MAHAKAMANI THIS TIME.
KAMANDA MBOWE AELEZEA KUHUSU MPANGO MZIMA WA {M4C} ''MOVEMENT FOR CHANGE'' MADHUMINI NI KUWAKOMBOA WATANZANIA KUTOKA KATIKA UMASKINI HUU UNAOSABABISHA NA VIONGOZI WACHUMIA MATUMBO MAGAMBA PART. NAKUSEMA MPANGO HUU NI ENDELEVU CHAMA KIJENGWE NA WATU PEOPLES POWERSS CHAMA MIKONONI MWA UMMA. FEDHA HIZO ZITAKAZOPATIKANA ZITATUMIKA KUKIJENGA CHAMA NA KUTOA ELIMU YA URAIA KUHUSU KATIBA KATIKA KILA KATA TANZANIA. ''KAMA MNAOGOPA SISI TUNATANGULIA WENGINE MTATUKUTA'' KAULI YA MHE. MBOWE KWA WALE WANAOGOPA KUCHANGIA KWA SABABU YA SERIKALI NA CHAMA MAGAMBA KUWAFILISI ASEMA WAIGE MFANO YA VIONGOZI WA CDM AMBaO NI WAFANYA BIASHARA WAKUBWA TU. MSIOGOPE M4C NI MUHIMU.
MICHANGO IMEKUSANYA MINGI KUPITIA M-PESA-0757 755 333, 0763 744 334, 0763 766 333, 0758 003 509 TIGO-PESA- 0655 788 333
0718 611 168 NA AIRTEL-MONEY-0684 424 229, 0684 424 144. KIASI CHA FEDHA KILICHOKUSANYA NI ZAIDI 100 MILLIONI
 
WanaJF
Tukio la kihistoria la kuchangia CDM kutoka Arusha litaanza kurushwa live na Star TV. Nimeanza uzi huu ili wale waliopo ndani ya Naura Spring Hotel na wale tunaoshuhudia kupitia star Tv tutoe matukio live ili wale wasio na access ya TV wajue kinachoendelea.

Tukio hili litaanza saa 2 usiku huu.
 
naangalia startv ni taarifa ya habari, nadhani wataunganisha badae
 
Hii ni influence nzuri kwa wanachama na wananchi kwa ujumla. Maana kwa kukichangia wanaona kabisa kuwa wao ni wadau wakubwa wa maendeleo na mafanikio ya chama! ubunifu mzuri wa viongozi wa chama.
 
ukombozi ni kwa kutembeza bakuli, tena naomba hili bakuli litembee nchi nzima kama mwenge wa uhuru, nchi hujengwa na wananchi na siyo kikundi kidogo cha watu

bravo CDM

Du wanachi maskini wa tanzania wanachanga kidogo walichonacho then zitumike kwa ajili ya chopa lol
 
chadema mwendo mdundo,najua hawa magamba wataongea mengi kuhusu hili but fund rising ni kitu cha kawida kwa nchi yoyote
 
Hiyo ni hatua nzuri sana ,Chama kitajengwa na wanachama.Alluta Continua
 
Back
Top Bottom