Ukombozi wa Zanzibar wazidi kuimarika

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1][/h]Posted on March 24, 2012 by zanzibaryetu
Baraza la Katiba Zanzibar kwa kushirikiana na Jumuiya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakiwa katika jukwaa kuu kwa kutoa elimu ya uraia, kwa kwanza kulia ni Kiongozi wa Jumuiya ya Maimam Ustadh Farid Hadi, Mjumbe wa Baraza la katiba Wakili Awadh Ali Said, Mwenyekiti wa baraza la katiba Pro. Abdul- Shareef, Amiri wa Uamsho Mselem Ali na Sheikh Suleiman mjumbe wa Uamsho
 
  • :attention: Hii iko nchi gani kwenye Ramani ya Dunia? au ndo hii Tanzania visiwani ngoja niendelee ku-search! :thinking:

Ukombozi? You must be joking!

We ndio unaetania, wa znz wako serious sana, kila kukicha wanaendeleza vikao vya KATIBA na kuhamasisha wazanzibar juu ya kuitambua katiba kuwaelezea umuhimu wao katika kufanya maamuzi. Ki ukweli hawa jamaa watawasuprise watu sana kwa kuwa hadi watoto wadogo wanajua nini kinafuata. Tofauti kubwa na huku Tanganyika wanasiasa wetu hawaambii watu ukweli na wala hakuna muamko wa katiba kabisa na hii ni hatari kwa kuwa hakutakuwa na maamuzi ya wananchi katika katiba mpya ijayo.
Watch out.
 
Hawa wazanzibar sijui kinacho wapa nguvu nini, Juzi nimetoka huko Zanznibar kwa kweli nilishangaa sana, mji wa zanzibar huwezi hata kuulinganisha na Dodoma, make kwa miji mingine kama Dar, Arusha, Mwanza na Mbeya iko juu ya Zanzibar,
 
znz ni nchi,huu muungano no boshen tu.hawa watu wana
Wimbo wao wa taifa
Bandarini tunatozwa ushuru kama umetoka kenya vile
Wana Bunge lao
Wana Mawaziri wao
Sasa huo Muungano ni kwenye nini?,labda kwenye ndoa basi...
 
..lakini himaya ya Zanzibar kabla haijavamiwa na Wajerumani na Waingereza ilijumuisha Tanganyika na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

..nilitegemea Mzanzibari wa kweli atapigania kuunganishwa kwa Zanzibar kama ilivyokuwa kabla hatujavamiwa na wakoloni wa Kizungu.

..hata eneo la Mombasa lilikuwa himaya ya Zanzibar mpaka miaka ya 60. kwanini wa-Zanzibari hawapiganii kurudishwa kwa eneo hilo toka Kenya??

..nadhani kuvipigania visiwa vya Pemba na Unguja peke yake ni kuikana historia ya Zanzibar.
 
Na wewe bana sijui ni husuda au ni nini? waambie watanganyika wadai pia rwanda na burundi...

Hongerani wazanzibar kwa kuonyesha njia, umoja wenu kwa sasa unawaumiza wengi huku Tanganyika hasa wale wa ile dini yetu...(?)
 
Topical,

..nadhani unanielewa kwa muda mrefu sasa kwamba mimi muungano siutaki kabisa.

..wa-ZNZ mara nyingi ktk madai yao hu-invoke historia. sasa ndiyo maana mimi nikaleta hoja kwamba kihistoria ZNZ ilipata kuwa ni eneo kubwa zaidi ya visiwa viwili vya Unguja na Pemba.

..zaidi, ukileta masuala ya dini, basi kuna uwezekano mkubwa muungano huu ukadumishwa na kuzima ndoto za wa-ZNZ kujitenga.
 
Mpaka leo haijulikani Zanzibar ni nini ?
Jibu litapatikana endapo kutakuwa na Tanganyika.
 
Topical,

..nadhani unanielewa kwa muda mrefu sasa kwamba mimi muungano siutaki kabisa.

..wa-ZNZ mara nyingi ktk madai yao hu-invoke historia. sasa ndiyo maana mimi nikaleta hoja kwamba kihistoria ZNZ ilipata kuwa ni eneo kubwa zaidi ya visiwa viwili vya Unguja na Pemba.

..zaidi, ukileta masuala ya dini, basi kuna uwezekano mkubwa muungano huu ukadumishwa na kuzima ndoto za wa-ZNZ kujitenga.

Trust Muungano hakuna atayeuvunja siyo cdm wala ccm au CUF

Muundo utabadilishwa na kutakuwa na serikali tatu; mwisho wa kelele..
 
Trust Muungano hakuna atayeuvunja siyo cdm wala ccm au CUF

Muundo utabadilishwa na kutakuwa na serikali tatu; mwisho wa kelele..

Topical,

..good luck with that.

..mna kazi kubwa sana ya "kuwasomesha" wa-ZNZ wakubali kuwa ndani ya muungano.

..wa-ZNZ wanataka kuwa na benki kuu, sarafu, mabalozi, majeshi,mipaka yao wenyewe, etc etc.

..mambo yote hayo hayawezekani ndani ya muungano wa serikali 3.
 
Muungano wa serikali tatu una solve problem nyingi na kelele nyingi za wazenj..

Kwani kwenye serikali ya JMT watakuwa equal patner in terms viongozi wa muungano n.k.

hakuna kisochowezekani as long as watanganyika wataacha altitude yao mbovu kuhusu wazenj
 
Wazanzibari hawatishwi na vijineno visivo msingi. Sisi tunakwenda kwa idhibati (proof). Hatufanyi mambo kichwa mchungu nawakumbusha tena, katiba ya tanzania inasomeshwea kwenye vikao vya katiba point by point. Tunawataalamu wa sheria wanahusika kabisa kuwaelimisha wazanzibari kuhusu haki yao kikatiba. Kazi ipo maana itabidi kufanywe "referndum" kuhusu muungano. Mpaka leo, 92% ya wazanzibari hawautaki muungano. Zanzibar hamna CCM wala CDM wala NCCR wala CUF. Zanzibar ni wazalendo wanoitaka nchi yao kuikomboa kutoka kwenye falsafa za punguani za ujamaa. Wazanzibari wamechoshwa na ukiritimba wa muungano huu wa kuwanyanyasa. UHURU kwa Zanzibar ndio njia pekee ya kuleta amani.
 
Back
Top Bottom