Diwani wa ccm nkoarua ajiuzulu

Eheeeeee endelea sasa.....maaana thread yako yote nititle tu sema ajiuzulu.............

Anza sasa:- Diwani wa nkoarua amejiuzuru...leo au jana.......kwa kile kinachosemekana kuwa ni...............habari kutoka ......zinasema .......diwani huyo alitofautiana na ..........katika suala zima la ................na hivyo ikamlazimu kujiuzulu na ...............kuhamia labda..............na ameeleza kuwa..................................Angalau tungekuelewa kiajana sasa unaripoti as if wote tuko Arusha na kila mtu atafuatilia mwenye.............hii ni JF na kwa sasa niko Masaka Uganda lakini ninauwezo wa kuwajulisha wenzangu walioko bukoba vijijini kinachoendelea huko so weka habari kamili ili niii quote JF kama reference wakute iko full.
 
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu

Ndiyo maana ya tetesi. mimi nipo hapa Tengeru nitazifuatilia hizo tetesi kisha nitawajuza. kama nikweli nijue nasababu gani zimefanya ajiuzulu I mean I will give you full story.
Ngoja niwahi
 
Kama ni kweli bomba sana. Peoplesssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Amesoma alama za nyakati huyo kua Magambani kunanuka sana,lakn mkuu thibitisha ili tujiachie zaidi
 
about an hour ago
 
about an hour ago

One step forward
 
Diwani wa ccm .emanuel langaeli wa kata ya nkwarua ,wilaya ya arumeru mashariki ajiuzulu

source of your information?
Halafu inaonekana wewe una akili kama ya Mrema wa Kiraracha. unatoa taarifa nusu nusu we vipi mkuu?
 
source of your information?
Halafu inaonekana wewe una akili kama ya Mrema wa Kiraracha. unatoa taarifa nusu nusu we vipi mkuu?
Anawaanda watu ki saikolojia kama tiss walivyoanza kwa Mwakyembe waone reaction ya watu itakuwaje.
 
Back
Top Bottom