for Tanzania this is peace look for yourself

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
DSC_6480.JPG
DSC_6717.JPG
FFU+nao+wakiwa+katika+kuhakikisha+hali+ya+usalama+inakuwepo++wakati+wa+zoezi+hilo.JPG
Mtoto+Amimu+Ibrahim+(1.8)+akiwa+amelala+nje++ya+nyumba+yao+wakati+zoezi+la+bomoabomoa+likiendelea.JPG
Doria.JPG

hawa ni wahanga wa mradi wa mabasi yaendayo kASI(DART).....................maendeleo ambayo hayazingatii utu?????
ina maana hatuna namna bora zaidi kuwahamsha wananchi wezetu bora zaidi ya hivi,hii si Tanzania tuitakayo
 
Walishapewa taarifa muda mrefu sana. Ubishi wao ndiyo umewasababishia yote hayo. Achana nao hao.
 
Hii inatokea kwenye nchi ambayo haina misingi ya utawala bora.
Na kama limetokea tz jibu unalo kichwani.
Nilishawahi kusema nchi hii haina rais, bali muhuni muhuni tu ambaye maamuzi yake mara nyingi hutokana na maoni ya changudoa!
 
Walikuwa hawajapewa notice ya kuondoka? wapishe maendeleo?
 
Wale watu kuwepo sehemu kwa muda wote ule ni kwa vile tu serikali ilikuwa inajitahidi kufuata sheria otherwise walikuwa wabomolewe miezi kadhaa iliyopita!! Wenyewe wanadai kwamba, wanachopigania kwa hivi sasa si kuondolewa ama kutoondelewa bali ni kulipwa kutokana na bei ya soko ingawaje hata wao nyumba zile hawakuuziwa kwa bei ya soko! Sizani kama kuna mtu ambae angenunua endapo wangeuziwa kwa bei ya soko kulingana na eneo zilipokuwa nyumba zenyewe!
 
Walishapewa taarifa muda mrefu sana. Ubishi wao ndiyo umewasababishia yote hayo. Achana nao hao.

Haya ni maneno adimu sana kuyasikia yakiongewa na mwanamke hasa baada ya kuwa ameona picha ya mtoto aliyelala barabarani. tusiruhusu kupoteza ubinadamu wetu na sifa nzuri tuliyojijengea watanzania kwa mapenzi yetu binafsi kwa watawala au vyama vya siasa
 
Wale watu kuwepo sehemu kwa muda wote ule ni kwa vile tu serikali ilikuwa inajitahidi kufuata sheria otherwise walikuwa wabomolewe miezi kadhaa iliyopita!! Wenyewe wanadai kwamba, wanachopigania kwa hivi sasa si kuondolewa ama kutoondelewa bali ni kulipwa kutokana na bei ya soko ingawaje hata wao nyumba zile hawakuuziwa kwa bei ya soko! Sizani kama kuna mtu ambae angenunua endapo wangeuziwa kwa bei ya soko kulingana na eneo zilipokuwa nyumba zenyewe!

Si ni haki yao kudai bei ya soko, au nawewe waje huko kwenu kesho wajiamulie tu kuweka kambi ya jeshi mvunjiwe na kufukuzwa kibabe. Bila ya kuzingatia wanajamii wamejijenga vipi hapo, watu wanamarafiki, kuna mashule ambayo watoto zao wanakwenda na wana-lifestyle zao ambazo zina ambatana na mazingira yao waliojijengea baada ya miaka ya kuishi hapo. Halafu we uje tu useme ameni, Sio bei ya soko tu bali compensation ilitakiwa kuzingatia na disruption ya maisha ya watu.

Hawa hawajui haki zao na mmbunge wao sidhani hata kama ana muda nao, serikali ya CCM imeenda kwa muda mrefu bila ya kupewa the right checks from the people and other responsible bodies. Wanataka kutoana macho huko arumeru kugombania posho wakati matatizo halisi ya siasa ndiyo haya, no political party has mentioned the issue nor any politician has mentioned this abuse of human rights, how pathetic.
 
Back
Top Bottom