News alert:Mkutano wa kampeni CDM live, Leganga USA River | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News alert:Mkutano wa kampeni CDM live, Leganga USA River

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kaburungu, Mar 24, 2012.

 1. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Wakuu heshima kwenu
  Muda sio mrefu mkutano wa utaanza rasmi. kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa makamanda kutoka maeneo tofauti. Huku akisubiriwa Dr Slaa na. ujumbe wake.

  Updates
  John Heche stejeni na wakati huu rais anatua na choper
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Endelea kutupa updates mkuu.
   
 3. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Nyerere stejeni, amesema mkapa aje aombe suluhu kwa wameru, appearances.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  thanks, endelea kutupa updates na picha ikiwezekana mkuu
   
 5. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa hili Mkapa analo ndiyo itakuwa ajenda kubwa tunapoelekea 2015.
   
 6. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Dr.Slaa stejeni.
  Kwa nn anamnadi nasari.
  1) Kukanusha tuhuma kuwa v nyerere si wa ukoo wa nyerere. Dr anasema v nyerere ni wa ukoo wa nyerere
  2Anakanusha tuhuma zilizotolewa na wasira kuwa Dr aliiba pesa za kanisa
  3. Amesema pia si kweli kuwa zitto amemtumia waraka, anasema ni uzushi wa magamba, anasema waongo
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ajenda ya Ufisadi imekosa mvuto? Chadema bana.
   
 8. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Ntakujibu baadae.
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Watu kibao
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hiyo itakuwa kama chumvi kwenye mboga. in fact Mkapa in nothing in this country
   
 11. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Mkuu in 5min ago nimetokea Maji ya Chai ni aibu kwa CCM walileta gari 2 za washabiki then vitoto ndo viko mbele na wamama wachache walopewa vitambaa na kidogo wakazi majumbani wamekaa wanasikiliza, Lusinde na Mwigulu wakitukana, nimekuja Usa River waaaoooh CHADEMA NEVER COMDARE maelfu elfu. VIVA CHADEMA GOD BLESS CDM
   
 12. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Nasari
  Kimsingi kijana anajenga hoja zake kwa Kuhusianisha maendeleo jimbo la arumeru na tz kwa kusema kuwa hayaendani na miaka 50 ya uhuru
   
 13. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ajenda kuu zitakuwa mbili mafisadi ikichagizwa na Mkapa kamuua baba wa taifa, safari hii CCM mtatokea mlango wa uwani.
   
 14. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Attendance inaridhisha, watu ni wengi mno, natumia cm hivyo nashindwa ku-upload picha
   
 15. w

  wa home JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  pamoja sana wakuu endeleen kutupa update
   
 16. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Very Perfect answer. Wala usipate tabu, nitamjibu mimi, we endelea kutupa updates mkuu!
   
 17. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  sana tu nimesha chukua picha watu watapata ukweli
   
 18. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  nasari anasema wale wazungu walio ziba njia hata hitaji kibali kufungua njia akisha apishwa tarehe 9 basi trh 10 anakinukisha
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Thanks Mkuu naamini sasa tutapata picha
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yegell usikose kuweka picha ili angalau mbivu na mbichi zijulikane.
   
Loading...