Wilaya ya arumeru na sehemu nyingine za ar town zipo gizani kwa masaa zaidi ya 20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wilaya ya arumeru na sehemu nyingine za ar town zipo gizani kwa masaa zaidi ya 20

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MAN OF CHANGES, Mar 24, 2012.

 1. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hali ya kusikitisha na kukatisha tamaa wilayani hapa tangu jana saa saba usiku usiku mpka saa hii (tatu usiku) umeme umekatika na haijulikani ni saa ngapi au ni lini utarudi.kweli inasikitisha sana hasa unapofikiria kauli za viongozi wetu kwamba hakuna mgao,sasa hii ni nini?Nimewasiliana na jamaa wengine waliopo town ya Ar nao wanasema hawajauona pia tangu jana.
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Arusha mjini wanapokea adhabu kwa kuichagua CDM na Arumeru tunaanza kuonjeshwa joto ya jiwe ili tujutie kuchagua cdm lakini hii haitatukatisha tamaa tutasonga hivohivo bila umeme hadi kieleweke
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,054
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Wanafanya mazoezi ili siku ya kura wakate pia ili zihesabiwe gizani na wao waweze kunyanyuka na mabox

  Si mtakuwa mnasema aha,kawaida umeme kukatika huku siku hizi,kumbe wao walfanya mzoee then mchezo usieleweke...kaeni CHONJO.
   
Loading...