TICTS Inahujumu upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam?

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,970
Kampuni moja inayotoa huduma za kupakia na kupakua mizigo katika bandari ya Dar es salaam, inadaiwa kula njama na baadhi ya maofisa wa Wizara ya Uchukuzi ili kukwamisha mradi wa ujenzi wa gati no.13 & 14 usiwe chini ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Kampuni hiyo iligharimia safari ya kikazi ya vigogo kadhaa wa Wizara ya Uchukuzi katika nchi za Thailand, Hongkong na Singapore mwishoni mwa mwaka jana.

Source; gazeti la mwananchi.

My take:
Kwakuwa kampuni ya TICTS ndiyo inatoa huduma za kupakia na kupakua mizigo(containers) ktk bandari ya dsm, na ndio yenye asili/makao makuu ktk nchi zilizotajwa hapo juu, Je hii si inaweza kuwa uthibitisho kwamba wao ndio wanaohujumu mradi huu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom