Kampeni za CCM Arumeru east updates....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za CCM Arumeru east updates....!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by L.a Makisi, Mar 23, 2012.

 1. L.a Makisi

  L.a Makisi Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM wamefunika mbaya katika kijiji cha patandi/tengeru.....habari ndio hiyo!

  DSCN2477.JPG

  DSCN2474.JPG
   

  Attached Files:

 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Unaweza ukadhani wamefunika kumbe wamefunikwa
   
 3. k

  king ndeshi Senior Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  thanks ma bro, tell her butt.....CDm 4 ever habhari ndo hiyo! na naondoka
   
 4. k

  kamanda mkuu Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  View attachment 50041

  View attachment 50042 [/QUOTE]
  mimi sijaelewa kabisa nilipoona tbc nilishangaa sana hivi huu ni mkutano wa mjumbe wa serikali ya mtaa au kwani hakuna watu kabisa ila kama sivyo basi tuseme ccm yafunikwa
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wanasubiri wanaume wameenda kuchangisha fedha ya ukombozi ndio wanajifanya kufunika?? Au ndio ule usemi wa paka akiondoka panya hutawala.
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Halafu inaonekana wew mpiga picha ndo ulikuwa mwisho wa umati wa watu??
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm wafunikwa vibaya
   
 8. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 4,217
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  Si tufanye mikutano ya kampeni kama tunavyoshindanisha ngoma za Kisukuma? Yaani mikutano yote ifanyikie hapo Patandi tuone nani zaidi! Nani atamfunika mwenzake?
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM wana ma strategist wa nguvu sana, wao wanashambulia ardhini ambapo ndipo watu huishi, sasa cdm mnaenda angani mnafuata ndege (wanyama) au nini?
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sasa mbona watu wenyewe hawafiki 50?
   
 11. s

  sebastian7 Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka 50 sera ni zilezile watu wamechoka wanahitaji fikra mpya kwa sasa amani amani amani kwani ndo wenye amani mkasirishen mungu muone asipoiondoa hakuna wakujisifu kwa hili la amani mungu peke yake asifiwe asante mungu kwa hii amani yetu tanzania glory to gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooood
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ni kweli kazi kubwa ya ccm ni kushambulia watu.
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri C--!
   
 14. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  GeniusBrain with no brain? Akili zako sawa sawa na Kibajaji
   
 15. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
   
 16. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Hapo wanamsikiliza komba na wala si zaidi
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  CCM wamekataa hata Mdhahalo, sasa hiyo ya kampeni ndani ya uwanja moja wataikubalije.
  CCM wanataka wahubiri umbea weeeee, hawataki waulizwe maswali na wananchi
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  watu wamekuja kusikiliza TOT

  [​IMG]
   
 19. L.a Makisi

  L.a Makisi Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  D

  CDM wanatumia 2,500 USD for fuel ya chopper per day, hizo pesa c watumia kwa maendeleo ya wananchi kwenye jimbo la Arumeru au majimbo mengine.
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mimi sijaelewa kabisa nilipoona tbc nilishangaa sana hivi huu ni mkutano wa mjumbe wa serikali ya mtaa au kwani hakuna watu kabisa ila kama sivyo basi tuseme ccm yafunikwa[/QUOTE]

  Wamefata muziki na maonyesho ya orijinal komedy!
   
Loading...