CCM kutumia tarehe 1/4/2012 kujipatia ushindi kwa propaganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kutumia tarehe 1/4/2012 kujipatia ushindi kwa propaganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Precise Pangolin, Mar 25, 2012.

 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi mdogo wa Arumeru unaotarajiwa kufanyika tarehe 1/4/2012 ambayo ni foolish day CCM inaweza kutumia vyombo vya habari ikiwa ni Redio na magazeti kuwahadaa watu kuwa uchaguzi umeairishwa ili wapiga kura wengi wasijitokeze ikiwa ni njia ya kujipatia ushindi au kuwaambia watu kwenye vituo vya kupigia kura kuna mabomu na mengine mengi kwahiyo ni kazi ya CDM kutumia muda huu mfupi kuwaelezea wapiga kura wake lolote lile ambalo wanaliona kama ni kitisho au kuhamasisha kutopiga kura wadharau. mimi nafikiri CCM na hiyo tume yao ya uchaguzi ilipanga siku hii ya tarehe 1/4 kuwarubuni wapiga kura. Naomba lifanyiwe kazi
   
 2. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hili jambo nimeliwaza sana Asante kwa kunisemea mkuu! Viongozi wa chadema nawaomba sana wawaambie wana Arumeru kuhusu hi ishu wajue kabisa wasije wakadanganywa kiukweli Namwomba sana Mungu atie mkono wake mbinu chafu zote watakazotumia Cc washindwe!
   
 3. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hata waje na propaganda haitasaidia kitu. Wameru si wajinga wanajua tarehe moja april ni siku ya wajinga
   
Loading...