Naomba kujua kiasi kilichopatikana jana kwenye harambee ya CHADEMA

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
Nilikuwa safarini hivyo sikuweza kufauatilia, kwa mwenye data sahihi naomba kujua total iliyopatikana jana.
 
Jumla ya michango ni siri yetu wenye chama

Na pia matumizi ya michango ni siri yetu secrtariat

wewe gamba nini mbona unaulizauliza? after all umechangia ngapi?
 
Acha ushuzi. we mwenyewe gamba, unamwita mwenzio gamba, hiyo ni akili kweli?
 
We have managed to collect a total of Tshs 200m and thus Magwandraa would like to thank you all for your unmatched generosity. Two-thirds of this money will be allocated for Club Billicanas repairs while the remaining amount will be designated for Mr. Mbowe's private house maintenance and Mrs Mbowe's Easter shoppings. Also be informed the next fundraiser, which has wholly been dedicated to Dr. Slaa's new bungalow construction, is due to take place early April in Dodoma.
 
We have managed to collect a total of Tshs 200m and thus Magwandraa would like to thank you all for your unmatched generosity. Two-thirds of this money will allocated for Club Billicanas repairs and the remaining amount will be designated for Mr. Mbowe's private house maintenance plus Mrs Mbowe's Easter shoppings. Also be informed that the next fundraiser that is wholly dedicated to Dr. Slaa's new bungalow construction is due to take place early April in Dodoma.
hOPE SIKU WATAKAYOGUSA DAR ES SALAAM NA WATOTO ZAO WOTEEEE WALAANIWE KWA KWELI
 
We have managed to collect a total of Tshs 200m and thus Magwandraa would like to thank you all for your unmatched generosity. Two-thirds of this money will be allocated for Club Billicanas repairs while the remaining amount will be designated for Mr. Mbowe's private house maintenance and Mrs Mbowe's Easter shoppings. Also be informed the next fundraiser, which has wholly been dedicated to Dr. Slaa's new bungalow construction, is due to take place early April in Dodoma.

i like your answers,kuna tende na ghalua hapa je ungenda?
 
Kimsingi swali kama hili linataka jibu lake liwe so public. Hata hivyo kwa jinsi mambo ya fedha yalivyo ndani ya vyama vya siasa inaweza kupita wik hujapata jibu. Halafu cha kushangaza zaidi hawahawa ndio wanalalamika tume ya uchaguzi ikichelewesha matokeo. Hivi logistics za uchaguzi na logitics za kuhesabu fedha ulizochangiwa zipi ngumu?
 
We have managed to collect a total of Tshs 200m and thus Magwandraa would like to thank you all for your unmatched generosity. Two-thirds of this money will be allocated for Club Billicanas repairs while the remaining amount will be designated for Mr. Mbowe's private house maintenance and Mrs Mbowe's Easter shoppings. Also be informed the next fundraiser, which has wholly been dedicated to Dr. Slaa's new bungalow construction, is due to take place early April in Dodoma.

dada zetu wengine wakiwa kwenye period zao wanapoteza network!
 
Tangu lini michango ikawa siri wakuu? Mbona wakati wa kuchangia watoaji wanatamka wazi kila mtu anasikia? Leo iweje ikisha kusanywa ndo iwe siri ya chama? Hapo kutakuwa kunafanyika uchakachuaji.
 
We have managed to collect a total of Tshs 200m and thus Magwandraa would like to thank you all for your unmatched generosity. Two-thirds of this money will be allocated for Club Billicanas repairs while the remaining amount will be designated for Mr. Mbowe's private house maintenance and Mrs Mbowe's Easter shoppings. Also be informed the next fundraiser, which has wholly been dedicated to Dr. Slaa's new bungalow construction, is due to take place early April in Dodoma.

Mmh! Kuwa na buzi toka magamba kusikufanye chizi na kuandika upuuzi kama huu. Ona sasa mapovu yanavyokutoka teh!
 
Hey mi sioni haja ya kuficha jumla ya michango iliyopatikana ila waambiwe wanachadema kwenye vikao vya chama. Kwa kutokusema tutatofautiana vipi na magamba? Unajua sometimes familia sio vizuri kuwaelezea majirani zenu pesa zote mlizonazo na mlizopata wengine wana chuki binafsi wanaweza kuwatumia majambazi mkaporwa na wengne wanaweza kubini mbinu za kuvuruga amani ndani ya familia ili familia isambaratike na wanafamilia wasipate tena umoja wa kukusanya mapato kama familia moja. Jiran ataendelea kuwa jiran asipate kutujua undani wetu. Hivi mbona CCM Hawatangazi adharani wanapata pesa kiasi gani kutokana na viwanja walivyojenga wananchi kabla ya uhuru na kabla ya vyama vingi kama ccm kirumba mwanza, jamhuri Dodoma, jamhur moro na vingne nchi nzima? Harafu wanatamka hadharan wapinzan hawana hela? Si bora cdm wanaomba michango kuliko nyie ambao ni chama kilicho madarakan haraf kinaiibia serikali ma kubaki kuimba kila siku serikal haina hela.
 
We have managed to collect a total of Tshs 200m and thus Magwandraa would like to thank you all for your unmatched generosity. Two-thirds of this money will be allocated for Club Billicanas repairs while the remaining amount will be designated for Mr. Mbowe's private house maintenance and Mrs Mbowe's Easter shoppings. Also be informed the next fundraiser, which has wholly been dedicated to Dr. Slaa's new bungalow construction, is due to take place early April in Dodoma.
idiot!! you sound as if you have been abandoned by your husband and now you are looking for an alternative!!!
 
Chadema kila kikiendelea kinatutisha, kinatufanya tufikiri mara mbili kuwa chama hiki kinaweza kushika mamlaka na nchi kuwa kwenye amani

chadema kimekuwa ni chama kinachopingana na misingi ya uwazi na demokrasia, nnashangaa sana kuona chama mabacho niliamini kuwa huenda kitatuvusha hapa tulipo, kikiwa na sera za kibabe na kufikicha demokrasia.

nnawaomba wanachadema kuanzia juu hadi chini kuchukua hatua za haraka kurudi kwenye mstari.

nimeshangazwa kuona Ndugu Zitto kabwe alipoamua kutoa mawazo yake, watu wametukana na kumwita kibaraka. hivi hiki si ndio chama ambacho tuliamini kuwa kiko tofauti na CCM ? kuna uhuru wa kujieleza?

kuhusu masuali ya pesa chama makini kinatakiwa kiwe wazi ili kila mtu aamini kweli hiki chama kina uwazi na kina mipango thabiti, na hili litawasaidia kushawishika kukipa kura kuongoza nchi

kinyume chake wananchi mtaendelea kuwatisha na kuamini hiki ni chama hatari na cha kuogopwa
 
Waliotoa majibu humu sio wasemaji wa chama,sasa kwa nini muanze kuonyesha gadhabu juu ya chama?
 
Watu wamefanya fundraising jana; na siyo ya kawaida kwani inahusisha ahadi, fedha taslimu, michango kwa njia ya simu n.k. Sasa ni wazi hesabu ya jumla itatolewa bila ya shaka lakini kucheleweshwa kwake ni mojawapo ya yale ambayo wengine wameshayagusia huko nyuma watu wale wale waliosimamia fundraising ndio wanaendesha kampeni Arumeru na ndi owanatakiwa kufanya maamuzi ya ofisi. So mfumo ndio unachelewesha kidogo. Tusubiri aidha jtatu hivi.
 
Back
Top Bottom