Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna tetesi kuwa Nape na wenzake Kama Kumi na moja wapo ktk baa Dar wakishangilia ushindi wa CDM. Kama kuna yoyote mwenye kutupa zaidi atujuze lakini Pongezi sana wana CDM
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari watano wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Updates: Mkutano umekwisha wakuu, kilichotokea ni historia katika Arumeru watu walikuwa ni wengi haijawahi kutokea na kitu kilikuwa kimeratibiwa vizuri. Ni wazi ushindi ni kwa Nassari bila...
7 Reactions
273 Replies
20K Views
1. Waliwaza nani atakayejuja kuikomboa seemu yao? 2. Waliwaza nanai atakeyesema anajituma kwaajiri yao na wao wakumkubali? 3.Waliwaza nani aliyemwema wamchague na akawakejeri wanzake kwamba yeye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo arumeru, ukuta wa wigo wa nyumbani pia ni wigo wa hoteli ambayo ni makao makuu ya ccm huku Arumeru Leganga USA, kusema kweli ni vilio humo hotelini, Wizi wa kura, hivi jiulize kwenye vituo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliahidi ikifika Jumatatu ya tarehe 2 April nitakukumbusha mataputapu uliyokua unatoa ukijitahidi kuaminisha uma kua sisiemu itashinda Arumeru Mashariki. Dogo nilikuambia hii sio Igunga, hapa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwakusema ukweli CCM iko taabani maana sasa wananchi wanaelewa juu ya umasikini walionao!!na hasa akitazama mtoto wake anaenda shule ajala,anapekua,shati limechanika,kaptula imchanika inaviraka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na hii post kwenye uzi mmoja humu JF: JF Exclusive: CHADEMA Yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
kutokana na matokeo yaliyotoka mpaka sasa hivi ni dhahiri kuwa ccm hawana chao, sasa swali linakuaj kuwa ccm wapo tayari kumtangaza nassari kuwa kashinda? Lowasa anajulikana na kwa kutoa toa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Matokeo haya sasa ni rasmi (final results) kama yalivyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi kata ya vijibweni; 1.Mathew Suleiman Luwongo(ccm) - 1198 2.Isaya Mwita Charles(Chadema) - 779 3.Ali...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Rev Robson, Mr Emmy, Jackson Michael, mwigulu, lusinde. Nataka niwafanyie maombi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hivi wana jf c mnajua kiherehere cha ccm kutangaza matokeo humu jf kama ilivyokuwa igunga leo wako wapii akina nape na matokeo yao wale magamba ambao hawaamini kilichotokea ambao wamo humu jf gepu...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu nimetoka USA, hali ilivyo ni kuwa vijana wapo eneo la USA karibu kabisa na kituo cha polisi wakishangilia matokeo ya awali. Kiukweli vijana hao ni wengi na bado wanatiririka toka pande mbali...
12 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya kushambuliwa na Kundi la watu wasiojulikana jana usiku, Mheshimiwa NYNESS KIWIA amehamishwa kutoka BUGANDO na kupelekwa MUHIMBILI kwa matibabu zaidi. Mheshimiwa alivamiwa na watu...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya kufuatilia kwa siku nzima kutokana na ripota mbalimbali walio mstari wa mbele napenda kutoa pongezi na shukurani zangu za dhati kwa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na makamanda wote wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
mabomu ya machozi yanarindima. Magari ya polisi yanarusha maji washa wananchi wanalala chini lakini hawaondoki.polisi wanaelekeza mabomu kwa wananchi. Wasimamizi/mawakala wa chadema wapigwa...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakuu,jinsi Siyoi Sumari alivyopita toka mwanzo kimizengwe, kushindwa vibaya kwa CCM huko Arumeru nini uelekeo wa makundi ya Urais,EL na Chama chenyewe? Pongezi kwa Chadema
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni kwa nini vijana waliotimiza miaka 18 hawaandikishwi kupiga kura kwenye chaguzi ndogo ambazo zimekuwa zikijitokeza mara kwa mara ktk nji hii?
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Ningependa kutumia haki yangu ya kikatiba kuwashauri wana arumeru wachague mgombea sahihi,hatutaki jimbo lenu liwe korea,eti baba afariki na mtoto arithi? Tulianza na mungu,tutamaliza na mungu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Nimepata habari kutoka kwa mwanahabari wa kuaminika kuwa chanzo chake cha habari katika idara za usalama kinasema kuwa CCM watatangazwa kuwa ni washindi wa kiti cha ubunge Arumeru kwa asilimia 56...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…