Nimetimiza wajibu wangu

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
wanabodi wote
Nimetimiza wajibu wangu. Nilitoka kwetu Mwanga kwenda Arumeru kwa kazi Moja ya kupiga kura mabayo ni haki yangu ya msingi.nemeilinda na hakika imesababisha Hongera Nasari, hongera wana arumeru wote. Safari ya ukombozi imeshika kasi
 
Back
Top Bottom