Matokeo bado?

matokeo bado sana

wapiga kura ni zaidi ya laki moja, zilizohesabiwa ni kama fifty............ kumbuka ccm siku zote huwa wanatangaza za mjini ili kupanga waibe ngapi vijijini
 
Sawa; CDM kuwe na mtu anafanya "coordination" na mawakala wa vituo vilivyopo mbali ili kukusanya matokeo kabla hawajatutenda.
 
Haya ni ya awali ila bado vituo vinne tu:

CHADEMA 32, 535
CCM 26, 296
AFP 131
DP 72
NRA 32
SAU 22
TLP 16
UPDP 22
 
nina maana tuwe na system yetu ya kukusanya final results kwa kila kituo kabla wakala hajashawishiwa kubadilisha. CDM ikifanya hivyo itasababisha wakala afikilie zaidi jinsi ya kufanya. Hawa jamaa ni wazuri sana wa Kuwatenda wenzao
 
Haya ni ya awali ila bado vituo vinne tu:

CHADEMA 32, 535
CCM 26, 296
AFP 131
DP 72
NRA 32
SAU 22
TLP 16
UPDP 22

Tunashukuru kwa taarifa wasiwasi ni kwamba hivyo vituo jumla vilikuwa na wapiga kura wangapi ? na ni vya wapi anayejua atujulishe ccm ndo wanapomalizia mchezo mara nyingi kwa kuiba kura na kubadili matokeo kabisa
 
Peopleeee mmelala ? Wapi matokeo jamani watu tunakesha uku. Na tunategemea sana jf mkilala hapo chichiemu watachakachua. CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
 
Haya ni ya awali ila bado vituo vinne tu:

CHADEMA 32, 535
CCM 26, 296
AFP 131
DP 72
NRA 32
SAU 22
TLP 16
UPDP 22
Kama kweli wapiga kura ni zaidi ya laki moja basi ina maana hivyo vituo vinne vilivyobaki vina wapiga kura zaidi ya 40,000 .Hivyo ni mapema mno kusema nani mshindi.Pamoja na kwamba Nassari ana advantage kama ataendelea kuongoza na kwenye vituo vilivyobaki au hata akishindwa asiwachwe mbali kiutofauti.
 
ushindi huooooooooooooooooooooooo!!!
Peooooooooooooooooooooooooooooooooooples!power!
 
Taarifa za siri,ni kwamba ccm na cdm watabadilishana kura! Na ccm atatangazwa mshindi

chadema sio wajinga kiasi hiki,yaani nachowaambia wasipokee hata kumi ya ccm maana itawatokea puani mchana kweupe,
 
Mkuu unasinzia?
We sema ninasinzia,wakati nimekesha kwenye ukumbi wa kuhesabia kura! Kagenzi sasa kiti cha moto. Hajuhi la kufanya! Either atangaze Ccm, abaki na ukurugenzi!(lakini anaweza kupopolewa na mawe). Au atangaze matokeo ya kweli lakini ukurugenzi kwa heli!
 
chadema sio wajinga kiasi hiki,yaani nachowaambia wasipokee hata kumi ya ccm maana itawatokea puani mchana kweupe,
Swala siyo ujinga wala rushwa! Swala ni kutamkwa kwa mshindi.Leo hii hata akitamkwa Chipaka wa Tlp kuwa ni mshindi,waliobaki wanaenda kupinga mahakani! Hawana namna tena.
 
We sema ninasinzia,wakati nimekesha kwenye ukumbi wa kuhesabia kura! Kagenzi sasa kiti cha moto. Hajuhi la kufanya! Either atangaze Ccm, abaki na ukurugenzi!(lakini anaweza kupopolewa na mawe). Au atangaze matokeo ya kweli lakini ukurugenzi kwa heli!

Hehehehe! MASHAVU YAKE HUYO, Sisi twataka matokeo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom