CD za Matusi Ya Lusinde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CD za Matusi Ya Lusinde

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by KakaJambazi, Apr 2, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,188
  Trophy Points: 280
  Wakuu wa CDM naomba kuuliza kama mjasiriamali huyu atakua anakitendea fair Chama chetu cha CDM. Amerudufu CD 100 za matusi ya Lusinde kwa kuanzia na anataka akawape wale vijana wanaogonga madirisha ukiwa kwe foleni afu ukifungua tu wanakuonyesha "pilau". Siku hizi hao vijana wanaprint picha za uchi za akina Ant Ezekiel, Wema, Lulu nk kuvutia wateja. Je biashara itamlipa au atakua anakidhalilisha chama?
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Itamlipa sana, mwambie auze buku buku tu
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Zipelekwe Mtera wananchi wake wakaone upumbavu wa mbunge wao
   
Loading...