Katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chris n, Apr 1, 2012.

 1. chris n

  chris n Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  wanajamii, tusaidiane kuelimisha umma, umuhimu wa katiba mpya. watu wajitokeze kutoa maoni
   
 2. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mkuu mimi na wewe tufanyike darasa la kushawishi.
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mbinu ya ccm na serikali yake ni kuhakikisha kuwa viongozi wa CHADEMA wanakuwa busy na kesi zao za ubunge mahakamani ili wasiwe na muda kuchangia kwenye majadiliano ya uandikishwaji wa katiba mpya; na ndio maana mahakama zinajihusisha sana na kesi hizo sasa!! Lengo la mkweree ni kufanya uchaguzi wa 2015 na katiba hii hii.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wazo zuri, thanx!
   
Loading...