Nasari jiandae kutukanwa na makinda!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Sawa.Mimi najua waenda Dodoma ila kumbuka kale kamama kanabinyua mdomo kanakupa saizi yako. Usipokua makini unaweza kumkata ngumi 'before sakamombya' so b careful. Sawa? All the best!
 
Pia lile bifu na maji marefu!...... "deep water ka mind mpiganaji ..." inabidi ajiangalie sana! ...
 
na pia si vibaya kujiandaa kwa vikao vya wasiooa au kuolewa bila kujali umri au kama meno yameshaanza kudondoka kutoka midomoni... bI KIGEGO NDIO CHAIPESON

in short jiandae kwa KUPTEZA MUDA KWENYE MAJUNGU:lock1:
 
Sawa.Mimi najua waenda Dodoma ila kumbuka kale kamama kanabinyua mdomo kanakupa saizi yako. Usipokua makini unaweza kumkata ngumi 'before sakamombya' so b careful. Sawa? All the best!
Give it up!
 
pia jiandae kale kabibi katakuwa kana zima hoja zako za msingi so jipange vyema Mh. Nassari.
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!
 
Nasari
aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya
kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza
tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia
kubwa sana!!

time will tell!
 
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!
Masikini Sioi atarudishaje madeni na ataitunzaje familia oooh poor.
 
Yamebaki masaa machache tusikie kauli hizi, "wameiba kuraa!" "kamanda tusikubali mpaka kieleweke" "mwisho wao 2015"
hii ni kwasababu kuna udhaifu mkubwa umeanza kujionesha upande mmoja wa mapambano!
 
Hahahah...umenifurahisha sana. Kuna chama ambacho wakipanda majukwaani badala ya kumnadi mgombea wao na kuonyesha watawafanyia nini wananchi kazi yao ni kuwahamasisha wananchi kulinda kura!!!
 
Sawa.Mimi najua waenda Dodoma ila kumbuka kale kamama kanabinyua mdomo kanakupa saizi yako. Usipokua makini unaweza kumkata ngumi 'before sakamombya' so b careful. Sawa? All the best!

Aende bungeni ni kwa shangazi yake huko? Atapaskia tu. Kwanza mchangieni mjinga mwenzenu kununua viatu. kachoka hajiwezi ndo mnataka awe mbunge. Hivi chadema mna laana nyie???
 
Hahahah...umenifurahisha sana. Kuna chama ambacho wakipanda majukwaani badala ya kumnadi mgombea wao na kuonyesha watawafanyia nini wananchi kazi yao ni kuwahamasisha wananchi kulinda kura!!!
akili yako kama avatar yako....akili kama za lusinde
 
Joshua ungenza kufanya mazoezi ya kile kiapo cha Bunge.Maana kwa takribani wiki tatu neno peopleees! Limekukaa sana mdomoni usije maliza kiapo chako ukatia neno peopleeees! Bure, halafu bibie pale mjengoni akakupiga Ban
 
teh¡ Teh.ban kama mod wa jf
 
kale kamama kana bif na wewe kwa kukadisclose kuwa hakana mme hivyo single kama wewe na kupelekea watu kuanza kufuatilia maisha yake
 
Aende bungeni ni kwa shangazi yake huko? Atapaskia tu. Kwanza mchangieni mjinga mwenzenu kununua viatu. kachoka hajiwezi ndo mnataka awe mbunge. Hivi chadema mna laana nyie???

waliolaaniwa ni ccm na baba wa taifa,ndo maana wanapeleka wakwe bungeni akina sioi kana kwamba akina lowassa na pamela wana hati milki ya tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom