Asante Sun Rise Radio Arusha Kursha Matokeo ya Ubunge Arumeru

mwelimishaji

Member
Oct 5, 2010
51
10
Nawashukuru sana watangazaji wa Sun Rise Radio Arusha kwa kuwa makini na kututangazia kwa muda wote mchakato wa upigaji kura na hatimaye matokeo yake. Nimefurahi jinsi mlivyokuwa makini na kufanya kazi hiyo kwa bidii. Mmefanya kazi niliyotegemea kufanywa na shirika kubwa kama la TBC.
Kwa mwendo huu Sun Rise mtafika mbali. Hongera Sana.
 
Kwa enzi na miaka hii ya NASSARI, uwongo kwenye Media hauna mashiko!
 
me nashangaa TBC enzi za Uchaguzi wa Marekani walionesha kila kitu leo hii uchaguzi wa nyumbani yaani hawana hata pilika kama za Obama enzi zile!
 
Wafikirie kuanzisha TV yao ili iwe mwiba zaidi. Tutawaunga mkono kwa kupeleka matangazo yetu ya biashara na vipindi vizuri wasonge mbele.
 
Back
Top Bottom