Yamkini Hii ni DEMOKRASIA-Arumeru Mashariki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yamkini Hii ni DEMOKRASIA-Arumeru Mashariki!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mtanga Tc, Apr 2, 2012.

 1. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ushindi wa Joshua Nassari-Chadema na kukubali kwa CCM kushindwa naona ndiyo demokrasia inaanza kukua.Nadhani ni vyema chama kilichopo madarakani kusoma alama za nyakati...Kizazi kilichopo kinataka mabadiliko na siyo tu Nchini mwetu bali ni wimbi linalopita ktk Nchi zote zilizo chini ya jua! Tupende tusipende bado tutayaona mengi ktk siasa za nchi yetu na yabidi watu tukubaliane na matokeo!
  HONGERA sana Bw Joshua Nassari na Chadema kwa ujumla...Nenda kawawakilishe watu wako kwa uwezo na nguvu zako zote!
   
Loading...