Baada ya Ushindi wa CHADEMA kinachofuata ni uhamisho wa Polisi

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Kutokana na ushindi wa Chadema katika uchaguzi Mdogo wa Arumeru, tutarajie kusikia makamanda wa Polisi wakibadilishwa vituo na hasa wale wenye vyeo vya juu kurudishwa Makao Makuu kukalia dawati na kusoma magazeti.

Na hlii litakuwa jepesi sana kutekelezwa kwani mara baada ya kutangazwa mshindi Mh. Joshua (Mbunge) aliwashukuru kwa kuwataja majina baadhi ya makamanda wa polisi na ni hao ndiyo watakuwa wa kwanza kuwa wahanga wa uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom