Mkapa ukombozi ndo huu.................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa ukombozi ndo huu..................

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by FKM, Apr 2, 2012.

 1. FKM

  FKM Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu B.W.Mkapa binafsi nimefurahi sana watanzania wa Arumeru mashariki kwa kukujibu swali lako uliowauliza siku iliyokuwa unafunga kampeni za chama C.C.M.

  swali: "Wanasema wanataka kuikomboa hii nchi, kwa ukombozi upi?"

  Naam. Ndugu Mkapa ni zahili wazi kuwa Ushindi wa CDM dhidi ya CCM ni jibu tosha la swali lako.

  Hongereni sana wa Arumeru mashariki. You made my day soooooo................ wonderfull..........................

  Viva Nassari,
  Viva CHADEMA,
  Viva Peoples' Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....................rs

  Tulianza na Mungu,Tumemaliza uchaguzi na Mungu, Tutaendelea na Mungu....
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Mkapa shitakiwe kwa kufanya biashara akiwa Ikulu, basi!!!
   
Loading...