Tupeni matokeo mengine pia

Tupeni matokeo mengine pia

wizaga

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
70
Reaction score
8
Tunaomba matokeo ya udiwani yaliyojili sehemu nyigineko
 
mwanza kata ya kirumba,jimbo la ilemela chadema wameshinda
 
Vijibweni ccm wakaz wa huku weng bado wamelala kaz yao kugema na kusukuma mitumbwi aka kibelaaaa njo nnunua samaki.mbeya kiwara -cdm,songea town cdm,tanga kafu
 
Nimefurahi sana ushindi wa Kiwira, come 2015, mkoa wa Mbeya wote utakombolewa. Ndaga fijo bhandu bha Kyala.
 
kata ya Kiwira Mbeya na Lisbon Songea CDM washindi CCM imechukua Changombe .Dom
 
Back
Top Bottom