Vichwa vya habari vya magazeti jumatatu tarehe 2/4/2012 (arumeru)

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,312
Itakuwaje jumatatu hiyo kwenye magazeti, na media zingine?gazeti gani kucheka, na lipi kununa au kutoripoti kabisa!NiUhuru,Mzalendo au Tanzania Daima kunyamazishwa?Binafsi nahisi itakuwa hivi:
1. .............NI PIGO KUBWA SANA CCM
2.CCM, MWIGULU WAKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA
3.NEC YAGOMA KUTANGAZA MATOKEO,yasema miundombinu ya Arusha na Computer zagoma
4.Gazeti la Uhuru.....KIKWETE AZURU IRINGA-irrelevant
5.TBC............MAGUFULI APIGA MKWARA KARIAKOO-irrelevant

Mwanajamii unadhani vichwa vya habari magazeti na media zingine vitakuwaje jumatatu hiyo?
 
Tanzania Daima ; Tumejitahidi, tumeshindwa lakini CDM imeimarika zaidi. Tutajaribu tena wakati ujao.
 
Gazeti la Mwananchi - Matokeo ya awali: Chadema yaongoza Arumeru, tume kutangaza matokeo rasmi leo mchana

Gazeti la Uhuru - CCM yapeta Arumeru, matokeo ya awali yaonyesha inaongoza kata 13 kati ya 17

Tanzania daima - Chadema yaongoza Arumeru. Nassari anaongoza kwa zaidi ya kura 9000

Habari leo - CCM yaelekea kutetea kiti cha Arumeru.

Yani Jumatatu asubuhi kutakuwa na mkanganyiko wa habari kwenda mbele!
 
Tanzania daima - CCM WABWAGWA KATA 19 ARUMERU MASHARIKI

MWANAHALISI - HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA CHADEMA KIDEDEA ARUMERU MASHARIKI

UHURU - CCM INAENDELEA KUONGOZA BAADHI YA KATA ARUMERU

HABARI LEO - ARUMERU MASHARIKI KWA WAKA MOTO

MAJIRA - MWIGULU NCHEMBA AFUMWA NA BOX LA KURA HEWA KATA YA USA RIVER
 
wana CCM washangilia ushindi wa CHADEMA
Lowasa akataa kuzungumza
Rostam aipongeza CDM....yenyewe yasema M4C
 
Uhuru- hakuna kama ccm
Chadema wakubali kushindwa!
Tzdaima-chadema yafanya kweli
Ccm wapotea arumeru
Nape agoma kupokea simu
Lowasa akimbizwa hospitali
Mwananchi- ni utata mtupu Arumeru
 
Walianza na Mungu wamemaliza na Mungu- Tanzania Daima

CCM wakimbiana, Sioi atogwa sikio la pili- xxxxx

Matokeo Arumeru itendawili- Jambo Leo


CDM wavuruga matokeo Arumeru- Uhuru.

CDM washinda Arumeru Mashariki, taharuki yatanda vigigo ccm,
Ni pigo kwa harakati za Lowasa kuelekea 2015.
Lubuva asema haki imetendeka, Tendwa asikitishwa na matendo ya CDM,
CCM wajiandaa kwenda mahakamani - Mwananchi
 
Back
Top Bottom