Joshua bila tbc yawezekana

MAKAPILE

Member
Mar 27, 2012
8
1
Hatimae watangajazi wa TB-CCM imebidi wawe wapale kama maji ya mtunguni huku roho zikiwauma kwa kutangaza matokeo ya pipozzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrr wakipata ushindi. Inabidi wasome alama za nyakati kwani mambo waliyowafanyia CDM yanasikitisha kwa kipindi chote cha kampeni kwa kususia kutangaza kampeni za CDM kwa kushindikizwa na CHAMA CHA MAGAMBA.Ni zahiri kabisa kumbe PIPOZI POWER bila TBC inawezekana kabisa." This is a New done".Nao tunawaambia kama chama cha magamba WAJITEKENYE WENYEWE NA WACHEKE WENYEWE.PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR!!!
 
Back
Top Bottom