Ccm watatangazwa washindi kirumba na arumeru mashariki.

THE GEEK

Member
Dec 10, 2010
90
32
Note this guys.

Hata kama CHADEMA watashinda katika kata ya Kirumba na jimbo la Arumeru Mashariki (ndivyo inavyoelekea).

Matokeo hayo yatageuzwa kwa ubabe, nguvu na wizi
(kama ilivyokuwa Sumbawanga mjini, Segerea etc)
na wagombea wa ccm watashinda sehem zote mbili.

Swali ninalojiuliza, CHADEMA na wananchi wa kawaida,
tutafanya nini baada ya haya kutokea??

Stay tuned!!
 
Tunisia alijinyonga kijana kutokana na Kuvunjiwa banda linamsaidia kuendesha maisha yake. Nasi tutapigwa risasi nyingi za moto nasi tutajibu kipalestina pestina makombeo kwa sana tu! na machafuko yataanzia hapa Arumeru na kunea nchi nzima kasoro Lindi na Mtwara
 
hata kama wataiba,kwa jinsi ninavyofahamu wana arumeru,lazima kinuke.wameleta FFU tu,hamna polisi wa kawaida hata 1,kuna wasimamizi kama 1000 wa CDM toka jimbo la arusha mjini kwa lema,bdo kuna watu kutoka musoma kwa vicent nyerere wamekuja jana wanasimamia,wameru washanoa mapanga,na misumeno.labda mwanza ndo wazembe,CCM huku hawana lolote leo,kwanza mgombea wao hajajiandikisha kupiga kura. . . . . .kama yeye mwenyewe hajipigii kwanini apigiwe?
 
ninyi watu wapuuzi kwelikweli mnaoleta mada zisizo na tija humu ndani. huo ni uchaguzi kuna kushinda ama kushindwa ndiyo maana umefanyika uchaguzi. busara ni kutulia kungoja mshindi awe wa chadema au ccm au chama kingine chochote na si kutanguliza ulalamishi usio na mashiko. Hovyo kabisa
 
Mkakati ulishapangwa jana kwenye kufunga kampeni pale Patandi....
Usijali hatuibiwi
 
Tunisia alijinyonga kijana kutokana na Kuvunjiwa banda linamsaidia kuendesha maisha yake. Nasi tutapigwa risasi nyingi za moto nasi tutajibu kipalestina pestina makombeo kwa sana tu! na machafuko yataanzia hapa Arumeru na kunea nchi nzima kasoro Lindi na Mtwara

Hii imetulia
Unajua ili tuwaweze polisi ni kuwafungia njia tu! hivi sasa vijana wanaanda magogo mawe makubwa na matairi. Wao wakishajitangazia sisi tunafunga njia na tunaanza ghasia tumechoka bwana! tena tunaanza ni mijihoteli yote ya mafisadi iliyojengwa hapa a. town!
 
Najiuliza anayewapigia kura CCM akili kamkabidhi mwenyekiti wake ?

Wametuibia vya kutosha lakini wapi watu kama vile wamelogwa.
 
Chadema kushinda Arumeru na kirumba sawa na maji yapande mlima.
Mkuu woyowoyo nadhani sasa umeshaamini kwamba maji yanaweza kupanda mlima maana kote Kirumba na Arumeru magamba chali kabisa. Kama una jingine sema!
 
Back
Top Bottom