Leo ni siku ya kuwakumbuka waliojeruhiwa wakiwa wakidai haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya kuwakumbuka waliojeruhiwa wakiwa wakidai haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHIETH, Apr 2, 2012.

 1. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu WanaJF,
  Leo ni siku ya kuwakumbuka wale wote waliojeruhiwa wakiwa katika mapambano ya kudai haki ya wanyonge. Ushindi wa chadema waweza kuwa kuwapa faraja. Tuwakumbuke wabunge wa CDM waliocharazwa mapanga na wafuasi wa CCM.
  Tumkumbuke kada wa chadema aliyewuwa na wanaccm Kule Igunga mwaka jana.Tuwaombee viongozi wa CDM waliona kesi kule Arusha.
  Tuwakumbeke vijana wa CDM waliokesha kuhakikisha kuwa kura hazichakachuliwi na hatimaye baadhi yao wakakamtwa.
  Tuiombee CDM iondowe aina yeyote ya Mchwa inayotaka kuitafuna polepole kabla ya Uchaguzi mkuu 2015.
  Tuwaombee wanacdm wawe wamoja.
  Lakini tusijisahau maana vita havijaisha, safari ni bado ni ndefu sana na kuna mabonde na milima.

  Tushirikiane kuiondoa CCM.
   
Loading...