Mzombe Zanda Startv vipi ???

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Huyu Bwana anapo soma magazeti asubuhi anajua kabisa watu wanaitegemea radio yao kwa taarifa hasa za matokeo ya Ubunge wa Arumeru Mashariki halafu yeye kwa makusudi kabisa anasoma hivii........." Sasa nalishika gazeti la (mfano Mwananchi) eeeh habari za mbele ni zilezile za uchaguzi wa Arumeru "

Nashindwa kumulewa habari zile zile zipi ili hali hajasoma hata moja Tahadhari yangu kwake/ kwao wajue kuwa Radio yao ndiyo karibu inasika nchi nzima kuliko hata TBC Taifa ajirekebishe na aina hii ya usomaji wa magazeti aaige wenzake wanavyo soma.
 
sio mzombe,ni mkombe,kama unuvyojua ndugu vyombo binafsi watangazaji wanatangaza kwa matakwa ya wamiliki,wakati mwingine hata wao wanashindwa kwenda against na wamiliki,wahurunmie
 
Back
Top Bottom