Wa JF tulikomboe taifa kwani CCM sio

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,115
ndugu wana jf ni miaka 50 ccm imefauru kuweka ujinga vichwani mwa WA Tz! kwa sababu zifuatazo.
1. Hakuna walicho kifanya kwa miaka yote na bado tunawachagua.
2.wamefanya ufisad WA waz na bado tunawachagua!
3. Hakuna maji , umeme , elimu , haki na nk na bado tunawachagua!
Na ww ongeza mengine.
Nini kifanyike ;
Wana CDM NA WA TZ WA KWELI YAAN WAZALENDO tuanze kusambaza elimu ya uraia kwa miaka hii 3 , kufika 2015 wengi wawe wamejua haki zao sio kama sasa wajinga wengi mno ! Hebu fikiri hii
M2 anaona ni DHAMBI kubadili chama akilinganisha na DINI! Et kimenilea!
Hongelen wana arumeru kwa kupevuka.
 
Back
Top Bottom