Visionmark
Senior Member
- Nov 24, 2011
- 158
- 28
Nimejifunza mengi sana kpitia hizi chaguzi ndogo (Arumeru mashariki, Kirumba n.k.), lkn cha msingi & muhimu zaidi ni kwamba hata mimi sasa naweza simama na kugombea nafasi ya ubunge au urais wa hii nchi manake hv sasa: (i) Sitalazimika jina langu liishie na ..Nnauye, Lowassa, Nchimbi, Mkapa, au Karume n.k. (ii) Sitalazimika niwe nimetoka familia tajiri au familia ya 'Kada' (iii) Sitalazimika kuwa na lundo la hela isipokuwa sera zinazotekelezeka na sio porojo wala matusi!