Inasemekana ccm wamerusha ndege mbili kwenda Arumeru saa tano usiku

wakomong'we

Member
Oct 28, 2011
30
2
Hivyo makamanda nawaomba muwe macho kudhibiti haya mafisadi,inasemekana kuna kura bandia pamoja na wakuu wa vitengo hapa nchini. Makamanda tuko pamoja kazeni kamba lazima ccm izikwe b4 2015.source niko maeneo ya airport Dar.
 
Hizi ndege labda ni za kuwatoa akina Mwigulu wasinyeshewe mvua kesho hapo Arumeru
 
Sasa kama uko airport dar, kwanini hababri yako bado ni kama haina uhakika. Tunataka real things in here!
 
wewe unaeleza kuwa inasemekana bila kuwa na data kamili na hizo ndege si zitatua KIA? je kule Arumeru watakwendaje wakati barabara ina ulinzi tosha wa makamander?
 
Hizi habari mimi nakuabaliana nazo, hizi ndege zitatua KIA muda si mrefu; halafu kuna uwezekano wa kukata mawasiliano ya simu kuanzia saa saba usiku huu; hivyo wapiganaji tutafute mbinu mbadala ya kuwasiliana mapema.
 
nchi sio ya chama kimoja,
2015 kuna kila dalili za serikali ya mseto
ni aibu sana na matusi yote waliotukana wananchi wa arumeru afu wawape kura hata wakiiba
kura watu wa arumeru hawadhulumiwi hata kidogo,watakiona cha mtema kuni
 
warushe tu, mpaka sasa tofauti za kura ni zaidi ya kura 6,000 , CHADEMA ikiwa inaongoza, na vituo karibu vyote vimeshahesabiwa kura, bado vituo vya mbuguni,,
 
Huyu jamaa kasema yuko airport then anasema inasemekana sasa tumuelewe vipi au Gamba nae
 
Labda wakimbie na mabox ya kura na hilo ni ngumu sana!

Ingekuwa na ushindi kwako!
 
Nguvu ya vijana imeanza kuonekana, na bomu la vijana lisemwalo ndo kama hivyo limeanza kuto cheche CONGRATS VIJANA WOTE WA ARUMERU...cpati picha 2015. WAMENIPA RAHA KWELI HAWA WATU WA ARUMERU
 
duh,wasitake kuleta mambo kama ya arusha mjini kwa lema,maana nasikia mafisadi wote walitoka dar wakaenda kushinikiza yule mama atangazwe mshindi,hata hivyo walichemsha,maana nguvu ya uma huwezi kuishinda,wana arumeru kumaeni mpaka kieleweke hapo
 
Wamesababisha kituo pekee cha redio kikate mawasiliono na hakipo hewani sasa. Magamba hawafai kabisa
 
Yaaani ni hivi ccm haina lake Arumeru! ukweli ni kwamba sasa hv wanatoa hela sambamba na kuiba kura~!n inasikitisha sana wanaficha kura hata kwenye chupa za chai? ama kweli huyo Sioi wanamdharirisha kutaka ushindi wake upatikane kwenye thermos...
 
Back
Top Bottom