Vichwa vya magazeti kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vichwa vya magazeti kesho

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Head teacher, Apr 1, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nadhani magazeti kesho yataandikwa hivi

  uhuru: WAZIRI MKUU- WATUMISHI PANDENI MITI
  JAMBO LEO: CHADEMA WAZUA VURUGU KWENYE KUHESABU YA KURA. mabomu yarindima
  una magazeti mengine.......
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Uhuru watakuja na NAPE ZIARANI MAREKANI; WAFANYABIASHARA WA AFRICA KUSINI KUISAIDIA CCM;
   
 3. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Tanzania Daima, CHADEMA YAFANYA KUFURU MBEYA, MWANZA NA ARUMERU.
  CCM HOI YATUMIA POLISI KUBADILI MATOKEO
  HABARI LEO; CHADEMA WALETA VURUGU ARUMERU, CCM WAONGOZA MPAKA SASA
  MWANANCHI; CHADEMA YAITEKA ARUMERU, VIONGOZI WA CCM WAKIMBIA ARUMERU
  POLISI WATUMIA MOBOMU NA MAJI YA KUWASHA KUTAWANYA WANANCHI
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  TBC1: Mchuano mkali bado waendelea Arumeru mashariki, CCM inaongoza CDM yaifuata kwa karibu, chochote chaweza tokea
   
 5. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mwananchi: Daudi Amshinda Goliati Arumeru Tanzania Daima: Chadema yaibwaga CCM Mzalendo: Mpango wa Mkukuta kuinua Uchumi Kilindi Habari Leo: JK kuzindua kampeni ya Damu Salama
   
 6. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  RISASI: SIOI SUMARI ASUBIRIA MATOKEO GEST NA BAAMED
  -Amsahau mtoto wa EL
  SANI: MWIGULU AMKUWADIA SIOI SIKU YA UCHAGUZI.
  tuendelee kuperuzi magazeti yetu ya kesho
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  DAILY NEWS: CCM Won Kigamboni!
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Majira:kikwete ziarani nchini ufaransa.
   
 9. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  CHIOI azirai...NCHUMARI..Atabasamu..
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  dah!mkuu,nimecheka sana.
   
 11. e

  elimukwanza Senior Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  hapo kwenye red nimecheka sana mkuu
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Jambo leo:Sitta,mwakyembe na mwandosya wanachukiwa ccm!
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Uhuru:makamu wa rais kuzindua mradi wa unywaji maziwa mashuleni.
   
 14. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Hehehehe
   
 15. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna gazeti la
  KIU: MWIGULU AKWAPUA TENA MKE WA MTU KUJIPOOZA NA MACHUNGU... WANANCHI WAMJIA JUU
  AMANI; SIZITAKI MBICHI HIZI AJISEMEA MKAPA NI BAADA YA MAJI KUMFIKA SHINGONI afu namaliza na
  IJUMAA: WAKAMATWA WAKIZINI NDANI YA CHUMBA CHA KUPIGIA KURA. Yumo wakala maarufu aliyeteuliwa na CCM
   
 16. L

  Lakisipesa Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu umeniacha hoi hapa :rockon:

  Uhuru: Mkuuwa mkoa ahimiza utumiaji wa vyoo vya kisasa kata ya manzese
   
 17. i

  ibange JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Uhuru: Arumeru hakijaeleweka
   
 18. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  bado magazeti ya michezo MWANASPOTI; CHADEMA kama SIMBA yawachinja CCM kama waarabu!!
  CHAMPIONI: NASSARI kama MESSI.
  DIMBA: LUSINDE awaletea Wa Tz U ballotel Arumeru

  Kesho magazeti yote siasa
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  UHURU-
  CBE Yazuia mavazi ya nusu-uchi
   
 20. L

  Lakisipesa Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipashe: Mwenyekiti wa makampuni ya IPP akisalimiana na Mheshimiwa raisi
   
Loading...