Hofu yatawala Siyoi Sumari kukatwa na CC-CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu yatawala Siyoi Sumari kukatwa na CC-CCM

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwana Mpotevu, Mar 2, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wana JF
  Hofu kubwa imetanda miongoni mwa makundi ndani ya chama tawala kuwa huenda kesho kamati kuu ikamkata mgombea aliyeshinda Arumeru Sioi Sumary na kumpitisha William Sarakikya. Hii ni kutokana na ukweli kwamba Sumary hakubaliki na wajumbe wengi wa CC kutokana na kuwa kambi ya EL.

  Pia Sumary anaweza kung'olewa kwa madai ya kundi lake kuhusishwa na rushwa katika ushindi alioupata kwani watu waliokamatwa na Takukuru Arusha na kuhojiwa ni kutoka katika kundi lake.

  Hata hivyo uamuzi wa CC-CCM unaweza kuwa mgumu zaidi kwa kuleta madhara makubwa katika kampeni za chama hicho kwani wameru wamekuja na kaulimbiu kuwa YATIMA HADHULUMIWI wakimaanisha kuwa hawako tayari kuona Sumary anakatwa!

  .
   
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mleta mada acha majungu yasiyo kichwa wala miguu.
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Du!! Hii sasa mpya ebu ngoja kesho ifike tuone vurugu lake.
   
 4. m

  mangiakimu Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yatima hadhulumiwi kwa kuwa alipatikana kwa rushwa? Na hao waliokosa hiyo nafasi kwa ajili ya chapaa chafu ya lowasa hawkudhulumiwa? Acheni ujinga, huyu mtu kapatikana kwa rushwa inabidi akae kule bungeni kama ndondocha aliyempeleka huko kwa chapaa ya ajabu
   
 5. M

  MYISANZU Senior Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni chama cha wahuni.Acheni waendeshe mambo yao kihuni.
   
 6. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  sikulazimishi kukubali lakini tukutake baada ya saa 24 toka sasa hapahapa jamvini tuone kama ni majungu ama masufuria
   
 7. M

  MYISANZU Senior Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CC haina uwezo wa kupambana na mbarikiwa Lowassa.Period...
   
 8. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  taarifa za uhahika sumari jina lake kesho kukatwa. Mpaka sasa sumari si raia wa tanzania hivyo anakosa sifa za kugombea ubunge. alipofika miaka 18 alitakiwa aukane uraia mmoja (wa kenya). hata kama wazazi wake wote ni watanzania lakini hakuzaliwa katika ardhi ya tanzania si raia.
   
 9. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yote sawa,wakate wasikate sisi tunajua Nassary ndiye mbunge wetu.tunajua hizo ni propaganda za kumtangaza mgombea wao ccm.
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  yoyote atakayepita ni zengwe,jimbo limeangukia cdm hilo hakuna ujanja!
   
 11. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe upo arumeru tangu lini?
   
 12. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Wamkate waone nasisi tunavyowakata huku arumeru .
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Ni kwamba mleta heading hajasomeka ama una lako?
  Nakwambia hili jimbo safari hii itawasambaratisha chichiem na habari ndiyo hiyo!

  Ingependa sana wangetengana hawa majambazi wakubwa!
   
 14. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Wacha mwamwengue watulaishishie ushindi wapenda mabadiliko
   
 15. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haitakuwa ajabu hiyo ikitokea. Ila ili hili la uraia litokee ndani ya CC itabidi mjumbe mmoja apendekeze lirudishwe katika mjadala. Tayari Chiligati aliliingiza na likakataliwa kuwa halina uzito. Je, nani atasimama tena na kupingana na CC ya wiki jana? Mjumbe gani wa CC anataka kununua hii kesi na kwa faida ya nani?

  Msekwa na Chiligati walikuwa ni wa wasimamizi wa uchaguzi wa marudio na wazungumzaji, na kama hawakulisema kwenye Mkutano Mkuu wa Wilaya Arumeru, ili wakimbilie kulisema tena kwenye CC basi watakuwa na chuki binafsi na Siyoi na wala siyo suala la uraia tena.

  Na pia sidhani kama Sarakikya atapenda kubebwa hivyo kama kiwete. Sarakikya ana msimamo wake, na ni wazi ataaibika sana kama atakubali kubebwa kiasi hicho. Labda wampitishe mtu mwingine na siyo Sarakikya ambaye mara mbili ameshindwa kupata hata kura 400, pamoja na kupigiwa chapuo na vigogo wa Chama Taifa.

  Maoni yangu ni kuwa Siyoi atapitishwa, ila CCM watajifanya kama hamnazo vile na watamuacha mwenyewe ahangaike na kampeni zake kama walivyofanya kwa Raza - Uzini.
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kamati kuu ilishasema hakuna tatizo na uraia wake wenyewe watafutetafute kwenye mafaili yao wanaweza kupata sababu nyingine.
   
 17. M

  Mabewa Senior Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti nahisi unaugonjwa wa FISADIOROENLmg 2015 pole sana.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hawawezi kukata jina lake..mjiandae kupigwa chini mara hii tena..najua tayari mmeshaandaa excuses
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mgombea wao yupi maana hadi sasa hawajapata mgombea, labda cha kuwakumbusha tu waangalie muda wa mwisho kurudisha fomu unaweza kupita wakingali wanahangaika kutafuta mgombea.
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wacha wagombane sie Chadema tunapeta tuu
   
Loading...