VITUKO vya vyombo vya habari, wagombea na punde na kabla ya kusomwa matokeo na utabiri wangu.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
STAR TV- msoma magazeti aruka vichwa vya habari vinavyohusu matokeo ingawa picha zilimsuta. Mf. Mwananchi iliandika "CCM HOI ARUMERU MASHARIKI" kilirukwa
Msimamizi asoma matokeo kwa kigugumizi kikubwa na kukoseakosea
Mgombea wa CCM ala kona fasta hakusubiri kuhojiwa na vyombo vya habari.
Star tv hawakulejea tena kutuletea matokeo usiku wala asubui kama walivyokuwa wametuahidi.
Utabiri wangu. BAADA YA TIDO MUHANDO MAGAMBA KUMVAA DIALO na Watangazaji wa mlengo wa kati au mkurugenzi SAMADU HASANI WA star tv kwa kuwapa airtime CHADEMA.
Kwa mara ya kwanza nazani na ya mwisho NASARI APEWA AIRTIME YA KUTOSHA TBC.
Malini S. Ajilazimisha kucheka huku sura ikisomeka tofauti
we umeona yapi?
 
Asanteni sana wana Arumeru kwa uamuzi wenu. Hakika hamjakosea, tunawashkuru sana. People's....
 
Kweli pamoja tunaweza peoplesssssssssssssssssssssssss.........p.......o........we............r...........
 
Tuna social media, hatuhitaji media za kina Mengi. Wakati kina Ufoo Saro wanaangaika maporini, huku Mwanakijiji alisha-confirm results.
 
Ni matokeo ya kutokuwa na tume huru. Tume ikitiwa mfukoni mwa serikali na chama chake haiwezi kufurukuta hata wakiambiwa walambe kinyesi.....bila Magwanda kuwa makini na kusimamia kura kwa staili ya 'ngunguri' na kupiga kelele kila faulo inaponukia basi huenda uporaji wa kihistoria ungetokea (nahisi hata hivyo lazima kuna uporaji umetokeas kwa kiasi fulani). Tusisahau pia mpasuko ndani ya Magamba ulichangia kwa kiasi kikubwa muanguko wao. pamoja na mbewembwe za 'umoja ' wao majukwaani usiku hao hao magamba waliokuwa wanalogana na kusalitiana. Baada ya muda si mfupi nina uhakika siri za kusalitiana huku zitafichuka na mpasuko utazidi na kuzidi kuchangia safari ya kwenda 'jehanam' kwa chama cha Magamba. Nadhani hii ndio itakuwa mara ya mwisho ya 'kikwapa' kuongoza kampeni za Magamba maana inaonekana kuwa nyota yake imefifia vibaya sana na hana jipya ila vijembe vilivyopitwa na wakati huku naye mwenyewe akiwa ni 'political liability' kutokana na uozo wa record yake ya utawala iliyojaa wizi na ufisadi wa kutisha. Hapana shaka anguko hili la kishindo la Magamba ni ishara tosha ya anguko baya zaidi la kitaifa na 'impact' yake itatetemesha chaguzi zingine zijazo na hata uchaguzi mkuu wa 2015. watu wameshaonja maana ya uwezo na nguvu ya kura zao kujiletea mabadiliko na wanajua utamu wake. Hofu imeisha na ujabari umeshamiri na vijana wameanza kugundua kuwa nguvu ya maandamano itahitimishwa tu kwa nguvu ya kura; kujiandikisha na kutunza shahada zao kufuatilia na kujielimisha kuhusu haki zao na maendeleo ya nchi kwa ujumla na kukipigia kura za ndio chama cha Magwanda ifikapo 2015 (ikiwa bado kitakuwa kinakidhi sifa za chama bora).
Kwa mtindo huu nina ukakika minyororo ya utumwa, umasikini, ujinga, na uzezeta uliokuwa umeanza kushamiri katika nafsi zetu na nchi yetu itaweza kumomonyolewa na kunyofolewa na wale wote waliotusababishia shubiri hii ya kudhalilika watashughulikiwa ipasavyo kwa kutumia 'nguvu mpya ya uma' itakayokuwa imeratibiwa na katiba mpya
Mungu ibarilki Tanzania na watoto wake
 
Wanaume tumemaliza kazi. CCM kwishineeeeeeeeeeeeeeeeeee!! Mtajiju, hii ni funzo kwenu kwa 2015. Nguvu ya uma daima itashinda. Pongezi kwa wana arumeru. Watanzania tuamke kutetea taifa letu.
 
Nina hasira na huyo Lusinde,anafundisha watoto matusi
Amepanda matusi amevuna aibu,
CDM ilianza na Mungu,inaendelea na Mungu
Nani mpumbavu hapo?

HUYO LUSINDE NDO NANI? MBONA ANAPENDA SANA MA2C? AKAWAOMBE RADHI WAZAZI WAKE (KAMA WAPO)
KUONGEA MATUSI HADHARANI KUNAONYESHA ALIVYO LELEWA.
NAMZOMEA LUSINDE:A S-cry:
SIKILIZA KWA MAKINI USHAURI HUU KWA SISIEM :yell:
 
Back
Top Bottom