Saisa za Vurugu hazilijengi Taifa'

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Tumeshuhudia matukio ya vurugu za namna mbalimbali hata tumefikia hatua ya kujeruhiana kwa mapanga na namna tofauti ktk chaguzi zetu mbalimbali zilizofanyika hivi karibuni zikiwepo za Ubunge na Udiwani sehemu tofauti hata tumesikia kule Mwanza Viongozi wawili wakubwa wa jiji lile wamejeruhiwa kwa kupigwa mapanga, Kupigana mawe wanachama na magari yao na mbaya zaidi hata Police ambao tunawategemea kwa ulinzi nao wanapgwa mawe"

My take: Siasa za namna hii ni Hatari kwa Taifa letu; tuzipige vita!!
 
Back
Top Bottom