Viva CDM.
Wana JF waheshimiwa makamanda wa mwanza walipigwa transfer toka bugando mpaka muhimbili, tupeni taarifa zao sasa wanaendeleaje? maana ushindi mtamu unatufanya kama tunawasahau vile...
Hawa ni Makamanda Chekechea, wanajivunia na wako bega kwa bega katika M4C
Wanasema hawalali mpaka kieleweke.........waambieni kitu na kuwataadharisha juu ya magamba
Jana Dr. Slaa amedai kuwa ktk vikao vya siri vya ccm anekaririwa rais mstaafu BWM akiishinikiza tune ya uchaguzi kuitangaza ccm imeshinda uchaguzi wa Arumeru hata kama wameshindwa kwa sababu...
Leo Tanzania nzima stori ilikuwa ni moja ya kuhusiana na ushindi wa Cdm huko Arumeru. Ktk blog nilizo pita nimeona watu ni kupongezana tu hasa wakiwasifu wananchi wa arumeru kwa kuthububu. hata...
Taarifa ya TBC1 kuhusu kukatwa mapanga na mashoka kwa Mbunge wa Ilemela na yule wa Ukerewe imetuacha na maswali mengi. Tukio hilo ni kubwa na la aina yake kutokea katika nchi hii tokea tupate...
Jamani leo asubuhi nimekutana na David Jairo, kilichonishangaza ni kumkuta anatumia gari la serikali Landcruiser V8 wakati nilijua ametolewa serikalini moja moja. nimeshindwa kuelewa sasa anatumia...
Kimsingi hawa watu watatu ndio waliosababisha ccm kupoteza jimbo la Arumeru Mashariki kutokana na sababu zifuatazo;
Wasifu na weledi wa lusinde na maji marefu ni sifuri, mzee wetu Wassira umri...
Kwanza napenda kukipongeza Chama Changu cha Demokrasia na Maendeleo kwa ushindi katika jimbo la Arumeru Mashariki na pongezi za dhati ziwafikie Makamanda wote Dr Slaa, Mbowe Freeman, Rev Natasye...
pamoja na kwamba alikuwa na majibu ya dharau akiwa south afirika ulipopigiwa simu na mhe mbowe lakini tunashukuru umeuonesha umma kwamba unaweza hata kule kwenu kondoa nadhani utapabadilisha
Ni furaha kuona kwamba katika miaka ya hivi karibuni chama cha CDM kimeweza kwa kiasi kikubwa kufanya kampeni nchi nzima kuelimisha wananchi.
Ni katika kazi hiyo ndio tumeona wapiga kura wakipata...
Kwa jinsi upepo unavyokwenda, naanza kuiona Movement for Change ikiibomoa CCM mda si mrefu. Hawa wakuu hawako mbali sana kujiunga na M4C. nadhani Zitto atakuwa anaratibu mchakato huu.
Nape Nnauye...
Leo, moyo wangu umejaa furaha kubwa baada ya kuchangia tone la damu yangu katika bakuli la sadaka ya damu ya ukombozi wa taifa hili, likitanguliwa na ukombozi wa Arumeru mashariki!
Nikiwa katika...
Tunashukuru uchaguzi umemaliza na mshindi ameshatangazwa. Pongezi CDM, pongezi Nassari, pongezi wana Arumeru kwa kushinda, mlistahiki - Hongera sana!
Lakini wakati wa kampeni, tuliwasikia...
kwatathimini iliyofanywa mapema hii! Maeneo yote ambako mabomu yalipigwa Chadema kimeshinda mfano Arumeru mashariki, Kirumba, Kiwira na Songea. Lakini hali haikuwa nzuri kwa Chadema maeneo ambayo...
Niko hapa cmanjiro wazee 'wanene' kifedha wanasemezana 'eti nasikia hawa jamaa wamechukua hata udiwani kata karibu zote..Sasaa' anasema mmoja wakiwa wameegemea gari lililochafuka na matope ya...
Kinachotukwamisha kisiasa Dar kuna wajinga wengi, misukule mingi, mbumbu wengi,
mateja wengi na zaidi walala hoi wengi. pia kuna watu wengi wanaojifanya wako bize kuliko eneo lolote TZ.
Makamanda wa Arumeru mashariki walikamata wezi wa kura na waliweza kudhibiti kura za wizi zisiingizwe kwenye vyumba vya kuhesabia! Sasa ushindi umepatikana. hivi ingekuwaje kama Makamanda wa...
Iwapendeze wakuu;
Akiwa katika harakati za kumjibu Wassira juu ya swala lake la kutochaguliwa kwa kuwa hana mke kijana huyu (Joshua Nassari) mbele ya Kiongozi wake wa Kitaifa alitamka kuwa akiwa...
Habari zenu wanajf. Kwanza napenda kutoa salamu za pongezi kwenu kwa kazi kubwa na ngumu mliyoifanya kwa niaba ya CDM mpaka kufikia hapa tulipo. Pili nawaombeni radhi kutokana na heading ya uzi...