Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

waungwana ukiitizama hii hati ya ushindi aliyopewa ndugu yetu mbunge mteule wa arumeru mbona huu mwandiko ni kama wa mtoto wa chekechea au ndio mkono ulikuwa unatetemeka sana kwa kutojiamini na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
“Ninawashukuru sana watu wa Arumeru Mashariki ambao hawakujali umri wangu, uwezo wangu kifedha, historia ya familia yangu katika siasa, na mapungufu niliyokuwa nayo lakini wakakubali kunichagua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
My Take, Kikwete ni dhahabu kwa upinzani,kwa ninavyomfuatilia sasa hivi kikwete kiundani anafurahi matokeo ya Arumeru, hakuwa anajihusisha sana kama Mwenyekiti just to put a statement there...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hizo ni baadhi ya nicknames za CCM nadhani ziko nyingine nyiiiingiiii! Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isio ya kwawaida, Mgombea wa CCM bw.Sioi Sumari, alijikuta akiwa peke yake kwenye chumba cha kuhesabu kura, huku wapambe Livingstone Lusinde,Mwigulu nchemba,Christopher ole Sendeka, na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Na Elvan Stambuli-Globalpublishers Mgombea ubunge katika Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP, Augustine Lyatonga Mrema, amesema anapanga kujibu mapigo kwa kuhamishia nguvu zake katika majimbo matatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakika ni pigo takatifu kwa magamba,naamini ni mwanzo mzuri kwetu kuanza harakati za kuuelimisha wananchi pande na kona zote za Tanzania.Napendekeza ya kwamba mwisho wa mpambano wa arusha uwe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika mambo yaliyousikitisha umma wa wastaarabu wa Tanzania katika kampeni za Arumeru Mashariki ni kauli chafu iliyotolewa na mbunge wa mtera (sijui ni mheshimiwa au ni kichaa) Livingistone...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) inaiomba Serikali ipandishe kodi ya vinywaji vikali ikiwa ni pamoja na mvinyo na bia, na pia kodi katika vocha za simu ili Tume hiyo ipate fedha za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hata hao wawekezaji wanaopewa ardhi kwa bei ya kutupwa waangalie hali halisi ya jamii inayoizunguka. Wawekezaji wasome alama za nyakati, wawekeze mabilion yao halafu muda mfupi ujao wataacha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna watu wengi hatukubahatika kuangalia live uzinduzi wa M4C (Movement for Change) huko Arusha. Nasikia ilisisimua sana na ilijaa hotuba za hamasa ya ukombozi wa nchi yetu. Nawashauri Chadema...
0 Reactions
5 Replies
934 Views
Zimebaki siku saba kamili ambapo Joshua Nassari atasimama na kuapa mbele ya bunge kuanza kazi yake. Kikao cha KWANZA cha mktano wa SABA wa bunge la KUMI unaanza Tuesday, April 10, 2012.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu,kwanza naomba nijiwakilishe kuwa mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa japo siasa ninaipenda.Pia naomba nieleweke kuwa nachukia ufisadi,unafiki wa kisiasa na umaifa wa kisiasa...
1 Reactions
6 Replies
791 Views
Kulikuwa na utoaji kauli kali na chafu kutoka kwa wapiga debe kuanzia kwa BWM,Wadirahadi mcharuko Lusinde..Keyboard pia zilimwaga maudhi na kejeli zikiongozwa na rejao,mzee,balantanda,fisadi mtoto...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Nimeongea na watu mbalimbali, wakiwemo wanasheria waliobobea, wamehakikisha kuwa ifikapo tarehe 05.04.2012 Ubunge wa Godbless Lema utatenguliwa rasmi, kutokana na mapungufu ya kisheria...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Kwa mamlaka aliyopewa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo Ramadhan Abdallah Shaaban amekuwa Waziri Ardhi, Maakazi, Maji na Nishati, Ali...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hawa wawili wanafanana? hebu sikiliza hotuba zao...! Nina wasiwasi na uraia wa Lusinde
1 Reactions
18 Replies
3K Views
leo nmehudhuria kampen za ccm ktk kata ya mbuguni kwa kweli ccm haina sera bali matusi ambayo matusi hayo yanaongozwa na lusinde na olesendeka.wazee wambuguni wamekasilishwa na matusi...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa jinsi Vincet Nyerere alivyomchezesha kwata la nguvu Mkapa, ninawashauri Chadema kila atakaposogeza mguu kwenye kampeni za uchaguzi Vincent Nyerere ateuliwe na chama kumshikisha adabu...
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.
0 Reactions
95 Replies
6K Views
Back
Top Bottom