Kulingana na mahojiano yanayoendelea live sasa hivi ITV kati ya Masako na Joshua Joel kutoka sumbawanga (Rukwa), kuna jambo nimelisikia ambalo limenitatiza sana. According to Joshua, matokeo...
Anguko la CCM Arumeru Mashariki na Mgombea wake Sioi Sumari aka Mkwe wa EL ni teke la mwisho la fisadi Edward N. Lowassa. Kwasasa sioni muujiza wowote wa kumnusuri EL hasa baa ya kulazimisha...
- Well, jana Demokrasia imechukua mkondo wake na Chadema wameibuka washindi katika mchuano mzito sana, binafsi ninawapa congratulitons straight form my heart kwamba ushindi wao ulikuwa ni wa...
Katika uchaguzi wowote, ni jambo la kawaida kuwa na kura chache zinazoharibika, hii inatokana na mambo mengi ikiwa ni pamoja na uelewa mdogo wa baadhi ya wapiga kura, maelekezo kuwa na utata au...
Wadau naomba tuziweke pembeni siasa katika kujadili mada hii, tuweke michango yetu kwa nia ya kulitimiza hili....maneno aliyoongea Mbunge Lusinde yametugusa sana sisi wanaharakati wa haki za...
wanaJF, embu nipeni mawazo, hawa jamaa ni timu mmoja au wanatuchanganya? Wakati rais amesikika katika redio mbao akisema kuwa angependa rais ajae awe mdogo kiumri kuliko yeye. Sitta ambaye...
Wanabodi,Nimetafakari kwa umakini mkubwa sana juu ya ushindi wa CHADEMA pale Arumeru mashariki.Pamoja na nguvu ya CDM,lakini uwepo wa magamba kwenye timu ya kampeni za CCM Kulichagiza ushindi wa...
Tunaambiwa kwamba tuna mkataba kuhusu matumizi ya maji ya Ziwa Victoria ambao tunapaswa kuuheshimu japo ulisainiwa na serikali za kikoloni zilizotawala nchi zetu (Kenya, Uganda, Tanzania - na...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sababu zinazotolewa juu yakubwagwa kwa CCM huko Arumeru East naziona kama zimejaa propaganda naupotoshaji wa makusudi ambao ni wazi unaonekana umelenga kuuficha ukweli...
Juzi nilikuwa hapo dar makao makuu ya ccm nilimtembelea rafiki yangu anaofisi hapo na ndio mara yangu ya kwanza kuingia hapo, kweli hali ya iyo ofisi ni mbaya lifti imekufa jengo chafu , parking...
"NUKUU"MIMI BENJAMIN MKAPA RAIS WENU MSTAAFU NAFUNGA MKUTANO WA KAMPENI LEO TAREHE 31/3/2012 NAWA AHIDI WANA CCM KWAMBA SITAONDOKA LEO NASUBIRI MPAKA MBUNGE WANGU BWANA SIYOI SUMARI...
Kampeni za ubunge jimbo la Arumeru mashariki lilikugubikwa na swala la Ardhi kuwa mikononi ama mwa wachache ama wageni, swala la kurudisha Ardhi kwa wazawa lilitumiwa karibia na kila mgombea mpaka...
Nianze kwa kupongeza jamii ya wanamageuzi nchini kote kwa kuiwezesha CDM kufanikiwa kushinda kiti cha Ubunge Arumeru Mashariki, Viti vya udiwani kirumba Mwanza, Kiwira Mbeya na Lizaboni Songea. Ni...
Wana JF,
Mtakubaliana na mimi kwa kile TBC walichokuwa wanakifanya kule Arumeru wakati wa kampeni
za ubunge.Mara zote wamekuwa wakijaribu kuonyesha upande mmoja yaani CCm na wakati mwingine
hata...
Wakuu habari za weekend? wakati najiaandaa kwenda bafuni kuoga na kwenda kazini kutafuta riziki, katika kusikiliza redio moja maarufu katika kipindi cha nipashe nimesikia wakimnukuu mbunge mmoja...
Wakuu,
Mkapa kama Rais mstaafu anaishi kwa kodi zetu sisi 'sons and daughters of the soil' bila kujali tunatoka chama gani. Wakati tukitegemea yeye kuwa mshauri wa masuala yanayohusu mustakabali...
Hawa wazee wanaopata viinua mgongo kutoka CCM leo wako wapi? Mbona kila Post siwaoni au wamekatiwa uduma ya Airtime?????
Waache kupotosha umma wa waTZ imetosha kuifilisi hii nchi wenyewe...
Wakuu JF, poleni na harakati za Arumeru Mashariki na hongereni sana wote kwa kazi kubwa na nzuri! CDM Milele! Pongezi nyingi kwa wana-Arumeru na (kwa wanaChadema) kwa kutumia sanduku la kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.