TANZANIA NA CCM TUNAKOELEKEA (Kuna makosa ya kutofumbia macho)
Niliwahi kusema (miongoni mwa post zangu kuhusu uchaguzi wa Arumeru Mashariki) katika mtandao wa jamii wa Face book (FB) kuwa...
Katika uchaguzi mkuu 2010 idadi ya waliopiga kura ilikuwa chini ya nusu kulinganisha idadi ktk daftari, zimefuatia chaguzi ndogo hadithi ni ileile. Wasiwasi wangu ni kuwa si kweli kuwa watu...
Wakuu JF, Inaoneka kuna watu wengi hawajui ukombozi unapatikanaaje, na Lusinde wa sisiEM katika movie yake ya hivi karibuni Arumeru amadhitisha hilo! Kwamba kwa waliozaliwa na wakulima watakuwa...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sababu zinazotolewa juu yakubwagwa kwa CCM huko Arumeru East naziona kama zimejaa propaganda naupotoshaji wa makusudi ambao ni wazi unaonekana umelenga kuuficha ukweli...
Wananchi wa Tanzania wahaitaji juhudi, mikakati, na nguvu kubwa kupata katiba mpya kabla ya 2014. Wapinzani hawezi kushinda uchaguzi wa urais wakati hali tuna katiba ya chama cha kimoja cha...
Unajua nimekuwa nikisikia na kusoma juu ya habari za Lusinde viz a viz matusi aliyokuwa akiyaporomosha ila sikutilia maanani nikiamini kuwa yaweza kuwa maneno ya kisiasa ama ushabiki. Ila nikiri...
Upepo sio Mzuri Mh.Lowassa, inawezekana adui yako hujamsoma vizuri..,sasa ni muda wa kutumia silaha zote, hakuna mtu yeyote wa kumuamini sasa! tumia mbinu mbadala za kisiasa la sivyo adui zako...
Mheshimiwa Rais Kikwete, imekuwa kawaida sasa kwa wanachama wa CCM kufanya vurugu kwenye chaguzi ndogo na hata kufanya mauaji. Hali hii haitokei kwa bahati mbaya kwani ni kawaida ya CCM kila...
Rare earth minerals were discovered after the drilling at the Tumbili target, within the Wigu Hill Rare Earth Project located 170 km south-west of Dar es Salaam. Canadian firm, Montero Mining and...
Tumeshuhudia wakati mwingine CCM kutokufanya usawa katika miradi ya maendeleo hasa katika maeneo walipopata kura chache au walipochagua upinzani,mf. madiwani katika jimbo la Chato kwa Magufuli...
Uchaguzi ni vita! Kupata ridhaa ya kuwaongoza/kuwawakilisha watu ni mchakoto mrefu. Hatoshi pekee kuuza sera na kukubalika, haitoshi pekee kupigiwa kura la hasha! Siku mbili nilizokesha na...
Ndugu wana jamii forum naom ba tusaidiane katika swali langu hili labda kwasababu jf ni mtandao makin na wenye wachambuzi makin pia sina hofu tutasaidiana katika hili. Leo hii nazungumzia chuo...
Ndugu zangu wana JF,
Awali ya yote naomba niwapongeze kwa ushindi KIDUCHU mlioupata kule ARUMERU, kiukweli sikupenda CDM iibuke washindi ila nilipenda CCM ishindwe. Ninakiri kuwa kuna tatizo kubwa...
Kitendocha kupigwa mapanga kwa wabunge wa CHADEMA mbele ya polisi kinanifanya kuanzakuhoji umuhimu wa uwepo wa jeshi la polisi. Kitendo cha mafisadi kuendeleakutanua kinanifanya nihoji umuhimu wa...
Imefika sasa CHADEMA itambue hazina ya wabunge waliokuwa nao..,na kutumia hazina hiyo kwenye kukipa nguvu chama hasa kwenye safu ya uongozi..,nimefurahishwa sana Juhudi za Mbunge wa Musoma...
leo katika mikutano miwili iliyofanyika jimboni kwake Mhe Mwakyembe amewaliza watu baada ya kuamua kuvua kofia yake na gloves na miwani waone jinsi alivyoathiliwa na sumu kali. Katika hotuba yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.