Godbless Lema...Dakika za mwisho za Ubunge.

Mbwiga_Plus

Senior Member
Jan 5, 2011
163
42
Nimeongea na watu mbalimbali, wakiwemo wanasheria waliobobea, wamehakikisha kuwa ifikapo tarehe 05.04.2012 Ubunge wa Godbless Lema utatenguliwa rasmi, kutokana na mapungufu ya kisheria yanayoukabili upande wa utetezi.

Kutokana na hilo, hali ya usalama ya Arusha huenda ikaingia katika changamoto mpya na majaribu, kutokana na upenzi wa wanacdm juu ya Mbunge wao anayeelekea kung'olewa.

Kufuatia tukio hilohilo, mkuu wa usalama wa Taifa ametua rasmi jana mkoani Arusha, ili kupanga mikakati na kushauriana na maafisa wengine, waangalie jinsi ya kukabiliana na hali hiyo.

Wanajamvi,
-Nini itakuwa hatima ya Lema?..Je kisheria ataruhusiwa kugombea tena?
-Unaisemeaje nafasi ya Lema, ana uwezekano wa kushinda iwapo atarejeshwa kugombea?

Nawasilisha.
 
Mahangaiko na attention diversion ni synonymous na CCM siku hizi, wakitoka hapo ni matusi............ its all good kwani tunazoea
 
Subiri kwanza hukumu itolewe
Baba,
Hukumu ya Lema imepata shinikizo kubwa sana kutoka kwa watu mbalimbali!
Kuna shinikizo toka kwa EL, serikali(kumbuka skendo bungeni ya Pinda na uwongo) na Bunge lenyewe, kuanzia spika na watu wa ccm.
 
Mi Naomba chadema waweke Punda Kama Mgombea na wasipige campaign, Vilaza hao hawapati Jimbo.
Kaka,
Ni kweli usemayo.
CCM wameshindwa Arumeru kutokana na sababu kuu moja ambayo wengi hawaijui.
Ni kwamba Arumeru hapakuwa na nafasi ya kupandikiza UDINI(hasa ubaguzi wa kiislamu) ndiyo gia kuu ya ccm jamani. Arumeru ilishindikana hiyo ndiyo maana wakajaribisha hata kuwingia makanisani kuwaghilibu maaskofu na kuwatumia washili, gia iliyoshindwa pia.
Lakini kwa Arusha mjini kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kupitisha fodgery kutokana na michanganyiko ya dini na makabila mbalimbali!
 
Hata watengue leo sisiem walikuwa wanapima upepo wa arumeru kucheck kama wangepata hapo ningekuwa na hofu ila kwa arusha sina shaka hata kidogo kama wangesema aliiba kupa ningehofu tutazipata je hizo tena ila kura zilikuwa za haki,mbona lusinde amemwaga matusi tena ya kudhalilisha.WAJARIBU TUTAWEKA KAMBI NA WATENGUE KESI YA MADIWANI TUINGIE UWANJANI.WASIPIME KINA CHA MAJI KWA miguu,kudadeki
 
Tuseme kwa vile ni sheria za serikali tu, lakini ingewezekana kuzuia hizi chaguzi, hakika marudio ya Arusha ni kupoteza muda!../actually ni kuitengenezea mazingira mazuri sana cdm na kuitangaza zaidi jina....
 
nguvu iliyotumika arumeru ni kubwa sana kulinganisha na nguvu itakayo tumika arusha'nasema hivii arusha yote ile ni chadema sasa sijui ccm watachezaje afadhali hata arumeru walipumua kwa kuondoka na kura 26000
 
Nimeongea na watu mbalimbali, wakiwemo wanasheria waliobobea, wamehakikisha kuwa ifikapo tarehe 05.04.2012 Ubunge wa Godbless Lema utatenguliwa rasmi, kutokana na mapungufu ya kisheria yanayoukabili upande wa utetezi.

Kutokana na hilo, hali ya usalama ya Arusha huenda ikaingia katika changamoto mpya na majaribu, kutokana na upenzi wa wanacdm juu ya Mbunge wao anayeelekea kung'olewa.

Kufuatia tukio hilohilo, mkuu wa usalama wa Taifa ametua rasmi jana mkoani Arusha, ili kupanga mikakati na kushauriana na maafisa wengine, waangalie jinsi ya kukabiliana na hali hiyo.

Wanajamvi,
-Nini itakuwa hatima ya Lema?..Je kisheria ataruhusiwa kugombea tena?
-Unaisemeaje nafasi ya Lema, ana uwezekano wa kushinda iwapo atarejeshwa kugombea?

Nawasilisha.

Mkuu tetesi hizo ndizo zilizoshika kasi katika jiji la Arusha kwa mujibu wa vyanzo vilivyopo huko. Nilijaribu kuomba ushauri kama G. Lema atavuliwa ubunge kama anaruhusiwa kugombea tena na kujibiwa kuwa ANARUHUSIWA kwa sababu kosa lake siyo CORRUPT PRACTICE ambayo inamuengua mtu kugombea tena endapo akinaswa na hatia.

Kuhusu kushinda hilo halina shida atashinda kwa kishindo hata akija kugombea Mukama!!!!!! Na CCM watajutia maamuzi yao kama yatakuwa waliyapika!!!!!
 
Baba,
Hukumu ya Lema imepata shinikizo kubwa sana kutoka kwa watu mbalimbali!
Kuna shinikizo toka kwa EL, serikali(kumbuka skendo bungeni ya Pinda na uwongo) na Bunge lenyewe, kuanzia spika na watu wa ccm.

Mahakama sio bunge hao wooote uliowasema ni wanasiasa sio part ya mahakama....ila cha msingi hata wamtoe Lema leo na CDM wakasimamisha kunguru na CCM wakaweka serikali yao yooote lazima CDM washinde tena kwa 99%
 
Tuseme kwa vile ni sheria za serikali tu, lakini ingewezekana kuzuia hizi chaguzi, hakika marudio ya Arusha ni kupoteza muda!../actually ni kuitengenezea mazingira mazuri sana cdm na kuitangaza zaidi jina....

Nilwahi kusema hapa njia nzuri kabisa ya chadema kujitangaza na kujijenga ni chaguzi'mfano mzuri arumeru na igunga'hakuna mtu asiyejua kuhusu chadema'tuombe mungu chaguzi ndogo zijitokeze kwa wingi hasa mikoa ya kusini
 
Back
Top Bottom