Josha Nassari kuapishwa bungeni next Tuesday | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Josha Nassari kuapishwa bungeni next Tuesday

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Apr 3, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Zimebaki siku saba kamili ambapo Joshua Nassari atasimama na kuapa mbele ya bunge kuanza kazi yake.

  Kikao cha KWANZA cha mktano wa SABA wa bunge la KUMI unaanza Tuesday, April 10, 2012.
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe unatakaje leteni post zenye mashiko ya kujadiliwa.Wewe unafikiri ataingia bila kuapishwa.Mashudu tupu hapa
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huu ndio mzee Six huwa anaita wivu wa kike. Kushinda ubunge sio kazi ndogo ndo maana watu wanafuatilia kila nyendo yake Nassary kwani amejiunga na celebrities wengine. Ukitaka kujua kulonda kazi ya ubunge inahitaji kugangamala waulize Nape na Mtatiro walivyogalagazwa majimboni na sasa wamekuwa watumwa kila wanachoambiwa wanasema ndio mzee. Nenda kampigie kampeni mkwe wa Lowassa NDIO MZEE, zunguka nchi nzima kumchafua HR NDIO MZEE...
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sikulijua ilo kumbe ni next week!
   
 5. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Post zenye mshiko ni zile zinazopata reply walau hata moja.
   
 6. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Alichofanya mtoa mada ni kutujuza, kuna watu wengi, hata mimi nilikua sifahamu kama bunge litakaa next tuesday.
  Pia usiwe mtu wa jazba, sometimes unatakiwa upige kimya na usiwe na wivu wa kike...
   
 7. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sisi wengine hatuna taarifa, tunashukuru kwa taarifa mkuu achana na huyo bw.ge anasema haina mshiko.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mbona mna hasira sana....teh teh teh tehhhh
   
 9. SUCRE MARIACH

  SUCRE MARIACH Senior Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Asante sana kwa taarifa mkuu,Pamoja sana M4C...
   
 10. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ampe hekima ali adumishe mapinduzi kwani bado TZ tuko kwenye ukoloni tena mbaya kuliko wa wana wa israel
   
 11. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Josha ndiyo nani tena?
   
 12. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama mtoa mada anajua ni j.4 atujuze ni sehemu gani mipango ya safari inapagwa?
   
 13. s

  shorodo New Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadae
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Kauli za CHADEMA zina mshiko kwa maana zina faida,tuanze na PEOPLE'S POWER ikaleta wabunge 48.M4C mwanzo tu mbunge 1 na bado changa,ikikomaje!baraam.Ahsante kwa kutujuza tarehe ya shangwe DOM,tu pamoja RAB atupe nguvu za kupambana zaid hadi yale tuyatakayo yatimie.
   
 15. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Magamba wa JF bado mnahasira sana eeeeh mbona boss wenu Nape kashakubali nyie ndo viherehere wa kuendelea kumwombea njaa jembe Nasari. Huu sio wivu wa kike ni zaidi huu ni ujinga. "Unawivu kumzidi hata shetani" kama hula la kuchangia ni bora ukakaa kimya. Wengi tulikuwa hatujui Bunge linakaa lini na lini kijana wetu ataanza kazi rasmi kama mbunge wa Arumeru Mashariki.
   
 16. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Magamba yana hasira kuliko Shetani, tulieni hivyohivyo...
   
 17. p

  prosperity93 Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  JOSHUA NASSARI nakufananisha na Joshua Myahudi aliyetumwa na Mussa kwenda kuchunguza nchi ya maziwa na asali. Mungu amekuinua wewe kwenda kuwasemea na kuwawakilisha wana arumeru wote pasipo kujali itikadi zao.
  Kumbuka siku ulipotangazwa kuwa mshindi mvua kubwa ilinyesha kama ishara ya baraka na kukubalika kwako mbele za Mungu. Watu waliomba Mungu awape kiongozi Arumeru....wamama na bibi zetu wanaoteseka hasa katika suala la ukosefu wa huduma nzuri za afya, maji, ardhi waliomba sana, Mungu amewajibu.
  Kumbuka Mungu aliwaambia wana wa Israeli...utakapofika uko..ukafanikiwa na kondoo, mbuzi, ngamia, ngombe zako wakaongezeka...usimsahau Mungu aliyekuweka hapo. ULIANZA NA MUNGU...USIMWACHE KABISA. MAJITU(CCM) yasikuogopeshe kwa lolote..saaa ya ukombozi ndio hii. ushindi huu umeleta mwangwi mkubwa wa furaha kwa Watanzania wengi wapenda mabadiliko na maendeleo...YOUNG MAN NEVER EVER GIVE UP....
   
 18. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilikuambia NASARI ujiandae kutukanwa mwingine akakuambia kuzomewa wakati wa kuapishwa. R u ready?
   
 19. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Lusinde: "niwarambe nisiwarambe"
   
 20. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kunywa sumu kama una hasira...aliye kwambia ushabikie magamga nani!!!
   
Loading...