Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukiondoa itikadi zetu za kivyama, hili la huyu jamaa bado sijapata jibu. Ameibaka sifa yetu ya wa Tanzania wapenda amani wenye maadili ya rika. Najaribu kuingia vichwani mwa viongozi wa M.agamba...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wa Jf napenda kuweka thread hii kama kichwa cha habari kinavojieleza. Tunajua kwamba macho ya kila mtu yalielekeza huko Arumeru na kusahau kuwa kuna chaguzi za udiwani zinafanyika mahali...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa kweli kama kuna tahariri za uhuru ambazo ziliwahi kunishangaza ni ya toleo la leo jumanne Mhariri ametoa tahariri ndefu na kuhitimisha kwa madai kuwa mgombea wa CCM hakuwa chaguo la CHAMA na...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau aliyesoma gazeti la jambo leo toka Juzi anambie walau kwa ufupi vichwa vya habari vimeandikwaje tafadhari. Au kama lina matenity leave tuhabarishane
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mheshimiwa Kikwete ametuma salamu za pongezi raisi mteule (toka upinzani) wa Senegal ndugu, MECKY SALL. nanukuu " NIMEPOKEA KWA FURAHA KUBWA HABARI ZA USHINDI WAKO NA KUAPISHWA KUWA RAISI MPYA WA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpendwa Mwenyekiti wa Chama, Ninayo heshima kubwa kukufahamisha kuwa ndani ya chama chako hakuna kundi hata moja lenye nguvu zaidi yako.Mtazame Lowassa.Pamoja na kuwa Laigwan na mkwe wa...
1 Reactions
0 Replies
770 Views
  • Closed
Tunataka kutetea demokrasia na utawala wa demokrasia, hivyo hatuwezi kuwa wa kwanza kupendekeza njia zisizo za kidemokrasia kushughulikia matatizo ya kidemokrasia. Tupo ambao tumechukizwa, kukerwa...
8 Reactions
116 Replies
33K Views
Huyu ni Trasias kagenzi,Alisimamia uchaguzi mdogo tarime mwaka 2008 ivyo kuonyesha kuwa ana uzoefu usiotiliwa shaka.CCM mkimkataa huyu basi mnakimbia kivuli chenu.
0 Reactions
127 Replies
12K Views
Kuondokana na maneno yanayoweza kutuvunjia amani katika taifa kama "tangazeni kisha wao wataenda mahakamani" tuliyoyasoma humu jamvini napendekeza kwenye chaguzi zote nchini matokeo ya uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wananchi wa Mtera kaeni chonjo mwaka 2015..! kwani mkombozi wenu anakuja..ikiwa sasa hamna mbunge zaidi ya Mburudishaji Mh.Livingstone Lusinde..namfananisha na MR.Bean au Charlie Chaplin...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Hongera CHADEMA kwa ushindi mnono wa Arumeru, Mwanza,Mbeya na sehemu zingine. Sasa ni kipindi muhimu kwa CDM kufanya utafiti ili kujua mbinu zilizotumikazimefanikiwaje na wapi pa kuleta mabadiriko...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
CDM wakiandamana kwenda Viwanja vya Liganga. Je picha zina ashiria kuwa CCM kwaheri?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa mwanafunzi mmoja wa udom ni kwamba kunawanafunzi wameandikiwa barua za kusimamishwa chuo kutokana na kukutwa wamevaa gwanda za ukombozi(CDM) wakati wakielekea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza napenda kutoa pole kwa wana CCM wenzangu kwa kupoteza jimbo letu la Arumeru Mashariki na pia Nakipongeza Chadema kwa ushindi mwembamba walioupata katika jimbo la Arumeru na pia na mpongeza...
0 Reactions
7 Replies
918 Views
Hakika wanavuta shuka asubuhi, kuna mambo mengi sana kiasi kwamba kurudisha imani kwa CCM si rahisi kwa muda huu,kung'ang'ana na bodi ya mikopo ivunjwe eti kwa fikra zao ndio inakimbiza vijana...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Tue, Apr 3rd, 2012 Tanzania | April 3rd Tue 2012 Fred Mpendazoe A Defence witness on Monday implicated a CCM agent before the High Court of stealing a vote during the 2010 parliamentary...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Kwa wanaofahamu Arusha hata kijuujuu pale Sanawari mataa kona ya kushuka AICC, kupanda sanawari ya juu ni vumbi kwanzia mataa kupanda huko mpaka mwisho wa Barabara. Huyu jamaa haogopi hata...
1 Reactions
5 Replies
960 Views
Mh Lema ni mwanamapinduzi kweli,...ninafurahishwa sana na maneno ya matumaini anayowapa vijana na wapambanajikwa ujumla. Hiii ni nukuu kutoka katika gazeti la Nipashe: "Nassari alisema mwaka...
19 Reactions
77 Replies
8K Views
Na,Jumbe Ismailly,Singida Apr,03,2012 Mahakama kuuKesi ya kupinga matokeo ya Lissu yaibukika mambo mazito.Chiligati atajwa kuhusika kuandaa ushahidi,Mrema na mwanae watumika kusaidia CCM...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko...
41 Reactions
215 Replies
20K Views
Back
Top Bottom