Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Inkoskaz, Apr 2, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Kulikuwa na utoaji kauli kali na chafu kutoka kwa wapiga debe kuanzia kwa BWM,Wadirahadi mcharuko Lusinde..Keyboard pia zilimwaga maudhi na kejeli zikiongozwa na rejao,mzee,balantanda,fisadi mtoto nk
  chaguzi imeisha
  sasa tujikumbushe na kuona
  tija yake
  Nakumbuka Nape alisema kuchagua mbunge wa upinzani hakubadili serikali wala raisi...does it sound wise?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  MWINGULU asema yeye hana habari na wake za watu anamidume yake mi4 rijali anayolalaga nayo
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Steve Nyerere sio wa familia ya mwalimu
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mchagueni Sioi Kumfuta machozi ya kifo cha baba yake....
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mwendawazimu hastahili hata kuwa mjumbe wa shina..apelekwe mirembe tu
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ubunge umekuwa ni rambirambi au tunu?
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  bora mzee mwinyi,msekwa malechela na hata Kinana walipima upepo
   
 8. B

  Benno JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hajaoa
   
 9. B

  Benno JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hajaoa na ni masikini
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  kawajibu kuwa bungeni haendi kufunhisha ndoa
  bungeni haendi kupeleka mvi
  bungeni anenda kuwakilisha maskini wenzie
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wapi yule mtia rushwa kanisani?
  Wapi mama Chatanda na kura Ake feki?
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
 13. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  1, msiwachague wapinzani ni wajinga----mkapa
  2 hawa ni sawa na vifaranga___ mkapa
  3 mimi ni mtu wa vitendo si maneno------------lowas
  4 wanajifanya wanavaa magwanda hata mgambo hawajapita? Kibajaji
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  gazet la RAI likakazia kuwa utafiti unaonyesha CCM inaongoza more than 60 percent
  ..sijui walitafiti wapi
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  CDM kushinda meru ni sawa na Meru unite kuifunga Barcelona FC..... Mwigulu Nchemba.
   
 16. maphie

  maphie Senior Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lema aliolewa alipokuwa mahabusu- Lusinde
   
 17. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nadhani tafsiri yake ni USHOGA!
   
 18. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nadhani tafsiri yake ni Undugulaizesheni
   
 19. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mi nakumbuka vijembe vya Vincent Nyerere, huyu jamaa alikuwa burudani sana kwenye mikutano.

  -"mimi nilipewa na bibi yangu dawa ya kutapishwa uoga nikiwa mdogo, bahati mbaya niliji over dose na ndio maana dawa zote zikaandikwa weka mbali na watoto"

  -"Ukubwa wa boflo, kiboko yake chai"

  -"Hawa CCM ni walaini kama maini"


  Hizi burudani tutazi miss sana.
   
 20. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wassira= SO....KWE
   
Loading...