CCM wanafiki, wamtekeleza Sioi Sumari baada ya matokeo kutangazwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wanafiki, wamtekeleza Sioi Sumari baada ya matokeo kutangazwa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Tanzaniaist, Apr 3, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika hali isio ya kwawaida, Mgombea wa CCM bw.Sioi Sumari, alijikuta akiwa peke yake kwenye chumba cha kuhesabu kura, huku wapambe Livingstone Lusinde,Mwigulu nchemba,Christopher ole Sendeka, na wapambe wengine wakitokomea kusiko kujulikana, wakimwacha Ndg.Sumari peke yake, ikionekana kana kwamba ametekelezwa huku hajui kilichokuwa kikiendelea na ikisemekana baadhi ya magamba wako njiani kuelekea Dar, nakushauri ndg.Sioi uhamie tu CDM, uendeleze mapambano na Mh.Joshua Nassari katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Arumeru
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu siyo kutekelezwa ni kutelekezwa.

  Pamoja sana!!
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  I hope Lowasa alikuwa nyumbani akimsubiri kwa hamu, wajipange upya?
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  we ulitegemea nini tk kwa kina Lusinde?
   
 5. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Atoe tamko
   
 6. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukisha ona dalili ya kushindwa tena usubili kuzomewa we chapa mwendo, ndicho walichofanya mabingwa wa matusi a.k.a Lusinde
   
 7. M

  Mantisa Senior Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa ndo nimeanza kuamini CCM kimeanza kuwa chama cha upinzani
   
 8. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu siyo kutekelezwa ni kutelekezwa.

  Pamoja sana!!
   
 9. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Hivi nchemba si ni mwanachama wa hili jukwaa,... kwa nini invisible asitutafutie tuna maswali kadhaa dhidi yake hapa, sijamwona humu tangu Lusinde amwage machafu yake kinywani yasiyosafishika kwa mswaki. Mara ya mwisho nilimsikia katika kampeni aliyoifanya King'ori akijaribu kuhubiri vipengele vya biblia angalau kuonyesha wananchi kuwa yuko tayari kutubu....
   
 10. G

  Golfer2008 Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyori ni mwanaufunzi huko norwich england alikuwa ameamua kuachana na masomo , so anarudi sculi
   
 11. rweyy

  rweyy Senior Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  poleni sana ccm ila hilo ni fundisho kwa mzee Mkapa pumuzika kama mzee wetu mwinyi wananchi siku hizi ni wajanja sana zile siasa za uongo hazipo tena
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tena mkapa unatumia hela za walipa kodi kujiaibisha
   
 13. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukikubali kuwa mzigo na dhahili utatelekezwa tu na mzigo kwake store sebuleni unatafuta nini?
   
 14. J

  Jacob Joachim Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lusinde bado hajaendelea tena na matusi na kejeli?
   
 15. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa sioi ningehamia CDM the same day hana cha kusubiri


  welcom cdm
   
 16. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Dah nilimwona alikuwa kama yatima. Peke yake anashangaa shangaa tu!
   
 17. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu,
  Nilimcheki dogo TBC kwenye lichumba la kuhesabu kura akiwa na machalii wengine kabisa, hata Pasco wa JF sikumuona, kweli magamba wanafiki sana..
   
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Chemba hana tofauti na aliekua Waziri wa Habari wa Iraq kipindi wanapambana na USA bwana Al-Sahaf.
  Pamoja na kila dalili kuonyesha kua Mgombea wao hauziki, yeye bado alijipa matumaini makubwa kua atashinda huku akidanganyana na wenzie hapa JF.
  Bado nakumbuka kauli yake ya "Tusubiri tarehe 01 April" alivyokua akiitoa kwa kuirudia rudia.
  Alifikia hata kuwatukana wana Arumeru kua ni mbumbumbu hivyo kwa 1st Class economist Kama yeye aanze kushuka mambo ya uchumi hawatamuelewa, so bora ashuke majungu tu akisaidiana Matusi ya Lusinde!!!
   
 19. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  siyoi sio mwanasiasa bana
   
 20. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  yeye mwenyewe hakupiga kura........wasira aliondoka saa saba usiku
   
Loading...